Vijana jitahidini muoe mwanamke anayekupenda

Vijana jitahidini muoe mwanamke anayekupenda

Hii kweli kabisa, mfano mwanamke ukampenda mwanaume kwasababu ya pesa zake au mali wakati wa sex humfeel ni ukavu wa jangwa la sahara, Ila yule mwanaume Unayemfeel hata mkichat tu hisia zinapanda achilia mbali kuonana Sasa ndo kabisa.
 
Haimanishi kuoa mwanamke anayekupenda inamanisha huna hela , no no noooo... Money can buy women attention but not her feelings, hata pisi kali hapa mjini zina vijana zinaowapenda ambao hawagaramii hata 20K per month , Ila hao vijana wanakula mzigo vzur tuu sambamba na wewe unayejidai kumiliki hyo pisi , unagharamia everything kuanzia macho matatu mpak appartment....

Neno moja tuu , mwanamke unayetegemea kuishi nae Lifetime Kwa shida na Raha make sure feeling zake zpo kwako , hapa Dar es salaam ndoa zimekuwa ngumu sababu vijana wengi wanatumia nguvu ya pesa kufanya diversion feelings za mwanamke kitu ambacho ni totally impossible , hawezi kukukataa na utamweka ndani Ila lazima atakuburuza tuuu
N A K A Z I A [emoji419]
 
Wapo vijana humu wanaojiandaa na ndoa, nawaasa vijana wa kiume, usitumie nguvu nyingi Sana kumshawishi mwanamke unayempenda ili aridhie kuwa na wewe... unaweza tumia nguvu ya pesa kumshawishi ili umtumie kama part time, Ila kwenye swala la ndoa usidhubutu kabisa kuoa mwanamke asiyekupenda.

Kama unatumia nguvu nyingi Sana pengine Mali na fedha kumshawishi mwanamke mpaka akakubali tambua tuu huyo mwanamke hakupendi, na endapo utamuoa utakuja kujuta.

Mwanamke anayekupenda huwa haombi vitu ovyo ovyo ni nadra Sana, na ikitokea ujue huyo ni extremely emergency, atajitahidi hakuudhi wala kukukwaza na atakusikiliza Kwa kila kitu, na kila mwanaume duniani anaye mwanamke anayempenda, shida ni kwamba tamaa na mionekano ya wanawake wa hovyo ndo huwa inatuponza.

Kama kuna mwanamke anakupenda na wewe unamuona kama anafaa japo sio wa viwango unavyotaka usipoteze mda weka ndani , utaenjoy Sana , na utafanya mambo makubwa , hawa wa kuhonga Sana ndo akukubali jiandae kuchapiwa Sana na kuzalishiwa watoto wasio wako.

Mengine Robert Heriel Mtibeli ataongezea
mwanamke hata awe na sura nzuri au mbaya (kwa macho ya kibinadamu), unatakiwa kuoa yule anayekupenda zaidi ya wewe unavyompenda. usije kujaribu kuoa mwanamke ambaye wewe ndio unampenda zaidi, yeye anatakiwa kukupenda zaidi ya wewe unavyompenda. hapo utaishi vizuri. ila ukifanya hivyo vinginevyo nakuhakikishia lazima utakuja uchanike moyo siku moja. namshukuru Mungu nilifanikiwa kuoa mwanamke anayenipenda sana mimi kuliko vile mimi nilivyompenda, amenivumilia kwa mengi na mwisho wa siku tukaja kuendana, sasa tunapendana sawasawa na ndoa ni nzuri sana. kuna kaka yangu mmoja yeye alioa mwanamke mzuri sana na ana PHD, ila mwanamke hampendi sana, yeye brother ndio anampenda zaidi. ajabu yake, mwanamke pamoja na kwamba wamezaa watoto kadhaa, yupo tayari kuachana naye kama brother akiamua, na bro hayuko tayari kumwacha kwa jinsi anavyompenda hadi leo, hiyo sasa imekusa silaha/fimbo ya kumburuza, anamburuza bro apendavyo. kwasababo bro ndio anayejibembeleza kwake.
 
Tukiwaambia vijana wanajifaragua , ni too dangerous kuoa mwanamke ambaye hana Hsia na ww , kisa tuu unampa Mihela na caring , uspofanya hvyo anazingua , hata kama Una hela za kumiliki bank huyo mwanamke usioe , labda kama kusex Tu na kuachana , Ila kumuoa , aisee hakuna rangi utaacha kuona ,
 
Back
Top Bottom