Ndege Tai
JF-Expert Member
- May 6, 2020
- 4,439
- 8,184
kuna ndugu yangu mmoja ni pisi kali haswaaa ( ni nzuri haswaaa yani nikisema mzuri namaanisha mzuri) ameolewa na jamaa mmoja ana michuzi ya kutosha sana,mwanzoni sista alikuwa hampendi jamaa kwasababu jamaa ana sura pasono......
NB:siombei waachane ila nipo nasubiri mrejesho wa ndoa yao baada ya miaka mitatu maana najua yule ssta amefuata michuzi mingi.
NB:siombei waachane ila nipo nasubiri mrejesho wa ndoa yao baada ya miaka mitatu maana najua yule ssta amefuata michuzi mingi.