Vijana jitahidini muoe mwanamke anayekupenda

Mnaongea tu bila kufikiri upande wa pili ,kama huna hela mwanamke atakae kupenda havutii chochote sio sura wala umbo
Ukiwa huna pesa hata serikali haikupendi maana unakuwa mzigo. Pesa isiwe hoja, ni lazima kuwa nayo ndo uingie kwenye mahusiano.

Usiajiri kwa kigezo cha umbo zuri ukapuuza taaluma. Utafurahia kulitazama ila biashara itaharibika.
usioe kisa umemwonea mwanamke huruma , Mwanamke wengi wanateseka baadae kwa kuolewa na mwanaume ambae yeye ndio kampenda kwa sababu mwanaume kipndi hicho kisu chake sio kikali anaamua tu kumuoa huyo , siku akipata makali ( pesa) atatafuta mwanamke wa ndoto zake pis kali , na kutesa kiumbe cha watu ,japo sio kwa ubaya ni nature tu imeamua.
Mwanaume malaya ni malaya tu ila mwanaume malaya mwenye akili anajua kabisa kuwa tembo anavutia kumtazama huko huko porini, huwezi mleta ndani ya nyumba yako. Wanawake wazuri na wenye shape kila siku wanazaliwa, huwezi wamaliza.

Oa mwanamke atakayekuwa mama bora. Uzuri unaisha anabaki mama mwenye busara zake. Hapa ni mkiwa kwenye 40's tu.
 
Hakuna unafuu kunarafikiyangu kaolewa na mwanaume anaempenda sana Yani yule baba ananpelekesha balaa Yani Kwa matukio anayompiga ni balaa
Kilamtu afanye kitu alichoagizwa mwanaume apende mwanamke atii mwanaume hakikisha mkeo anakutii huwezpatashida na ndio hata wazee wetu walioana wakiwa hawajuani kabla na waliishi vizuri
Jitengenezee mazingira ya kufanya mkeo akutii shida sikuiz mmekuwa wadhaifu sana
 
Wapo vijana humu wanaojiandaa na ndoa, nawaasa vijana wa kiume, usitumie nguvu nyingi Sana kumshawishi mwanamke unayempenda ili aridhie kuwa na wewe... unaweza tumia nguvu ya pesa kumshawishi ili umtumie kama part time, Ila kwenye swala la ndoa usidhubutu kabisa kuoa mwanamke asiyekupenda.

Kama unatumia nguvu nyingi Sana pengine Mali na fedha kumshawishi mwanamke mpaka akakubali tambua tuu huyo mwanamke hakupendi, na endapo utamuoa utakuja kujuta.

Mwanamke anayekupenda huwa haombi vitu ovyo ovyo ni nadra Sana, na ikitokea ujue huyo ni extremely emergency, atajitahidi hakuudhi wala kukukwaza na atakusikiliza Kwa kila kitu, na kila mwanaume duniani anaye mwanamke anayempenda, shida ni kwamba tamaa na mionekano ya wanawake wa hovyo ndo huwa inatuponza.

Kama kuna mwanamke anakupenda na wewe unamuona kama anafaa japo sio wa viwango unavyotaka usipoteze mda weka ndani , utaenjoy Sana , na utafanya mambo makubwa , hawa wa kuhonga Sana ndo akukubali jiandae kuchapiwa Sana na kuzalishiwa watoto wasio wako.

Mengine Robert Heriel Mtibeli ataongezea
Kila Mwanamke hunipenda
 
Ukiwa huna pesa hata serikali haikupendi maana unakuwa mzigo. Pesa isiwe hoja, ni lazima kuwa nayo ndo uingie kwenye mahusiano.

Usiajiri kwa kigezo cha umbo zuri ukapuuza taaluma. Utafurahia kulitazama ila biashara itaharibika.

Mwanaume malaya ni malaya tu ila mwanaume malaya mwenye akili anajua kabisa kuwa tembo anavutia kumtazama huko huko porini, huwezi mleta ndani ya nyumba yako. Wanawake wazuri na wenye shape kila siku wanazaliwa, huwezi wamaliza.

Oa mwanamke atakayekuwa mama bora. Uzuri unaisha anabaki mama mwenye busara zake. Hapa ni mkiwa kwenye 40's tu.
Upo sahihi kabsa kwa baadhi ya watu .
 
Haimanishi kuoa mwanamke anayekupenda inamanisha huna hela , no no noooo... Money can buy women attention but not her feelings, hata pisi kali hapa mjini zina vijana zinaowapenda ambao hawagaramii hata 20K per month , Ila hao vijana wanakula mzigo vzur tuu sambamba na wewe unayejidai kumiliki hyo pisi , unagharamia everything kuanzia macho matatu mpak appartment....

Neno moja tuu , mwanamke unayetegemea kuishi nae Lifetime Kwa shida na Raha make sure feeling zake zpo kwako , hapa Dar es salaam ndoa zimekuwa ngumu sababu vijana wengi wanatumia nguvu ya pesa kufanya diversion feelings za mwanamke kitu ambacho ni totally impossible , hawezi kukukataa na utamweka ndani Ila lazima atakuburuza tuuu
Sure, nimefkiri tu tofauti japo sio muumini wa ndoa , upo sahihi sana mkuu.
 
Mnaongea tu bila kufikiri upande wa pili ,kama huna hela mwanamke atakae kupenda havutii chochote sio sura wala umbo , unahamasisha vijana waoe wanawake wabaya wa sura na umbo ili wakizipata waje wawatese kihisia watoto wa watu, mimi nashauri kijana oa pisi ambayo moyo wako umeridhika nayo ata kama umeivutia kwa pesa , mwonekano mzuri au utanashati wako , hakuna mwanamke atakupenda tu bila kigezo chochote , usioe kisa umemwonea mwanamke huruma , Mwanamke wengi wanateseka baadae kwa kuolewa na mwanaume ambae yeye ndio kampenda kwa sababu mwanaume kipndi hicho kisu chake sio kikali anaamua tu kumuoa huyo , siku akipata makali ( pesa) atatafuta mwanamke wa ndoto zake pis kali , na kutesa kiumbe cha watu ,japo sio kwa ubaya ni nature tu imeamua.
sio kwel
 
Wapo vijana humu wanaojiandaa na ndoa, nawaasa vijana wa kiume, usitumie nguvu nyingi Sana kumshawishi mwanamke unayempenda ili aridhie kuwa na wewe... unaweza tumia nguvu ya pesa kumshawishi ili umtumie kama part time, Ila kwenye swala la ndoa usidhubutu kabisa kuoa mwanamke asiyekupenda.

Kama unatumia nguvu nyingi Sana pengine Mali na fedha kumshawishi mwanamke mpaka akakubali tambua tuu huyo mwanamke hakupendi, na endapo utamuoa utakuja kujuta.

Mwanamke anayekupenda huwa haombi vitu ovyo ovyo ni nadra Sana, na ikitokea ujue huyo ni extremely emergency, atajitahidi hakuudhi wala kukukwaza na atakusikiliza Kwa kila kitu, na kila mwanaume duniani anaye mwanamke anayempenda, shida ni kwamba tamaa na mionekano ya wanawake wa hovyo ndo huwa inatuponza.

Kama kuna mwanamke anakupenda na wewe unamuona kama anafaa japo sio wa viwango unavyotaka usipoteze mda weka ndani , utaenjoy Sana , na utafanya mambo makubwa , hawa wa kuhonga Sana ndo akukubali jiandae kuchapiwa Sana na kuzalishiwa watoto wasio wako.

Mengine Robert Heriel Mtibeli ataongezea
nilipokuwa chuoni, kuna mwanachuo mwenzangu aliitwa Amina , aisee yule dada alinipenda kutoka moyoni, kipindi kile sikuwa hata na uwezo wa kutoa mahali, nilimuacha akaolewe na wengine waliokuwa na uwezo😔😔😔
 
Hakuna unafuu kunarafikiyangu kaolewa na mwanaume anaempenda sana Yani yule baba ananpelekesha balaa Yani Kwa matukio anayompiga ni balaa
Kilamtu afanye kitu alichoagizwa mwanaume apende mwanamke atii mwanaume hakikisha mkeo anakutii huwezpatashida na ndio hata wazee wetu walioana wakiwa hawajuani kabla na waliishi vizuri
Jitengenezee mazingira ya kufanya mkeo akutii shida sikuiz mmekuwa wadhaifu sana
lazima wawe wadhaifu, sasa mfano kama wewe unanitaka mimi eti kisa nina pesa, na asiekuwa na pesa atajihisi vipi?
 
Back
Top Bottom