yuda75
JF-Expert Member
- Aug 16, 2020
- 520
- 1,385
Nimefanikiwa kukutana na kukaa a vijana na washikaji tofauti vijiwe tofauti ila ma jobless wanaongoza kwa kuwaza ujinga sana kuliko namna ya kujikwamua katika hali alio nayo
Unakuta ni kijana anawaza kuendesha gari ya baba kidogo kupiga masela vizinga na wengine wameka kama mitego wanasubiria mzee aanguke wafyatuke
Ukikutana nao element au Samaki Samaki wanagongea bia baalaaaa. Wanapenda kuita wenzao mkuu, mheshimiwa, afisaaa, boss na mengine mengi