toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,283
- 11,253
wanaweka wallet kwene mfuko wa nyuma zimetuna utashan hela kumbe mikaratasi ya betting, hawatak kazi wanachagua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo kazi zetu mzeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1645850
Ndo kazi zetu mzeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1645850
mwanzo si ulitukutanishaga kwenye uzi wa masihara!?... ikawa tunajichapia mademu za jamaaa kama hawa, kimasihara tuu..Ndo kazi zetu mzeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1645850
Tumeshashiba chai...mada ya leo ya kuilaumu serikali ni ipi?
Kwahio blaza wewe ulishafanikiwa kujiajiri au kuajiriwa?View attachment 1644361
huyu jamaa mawazo ya ajira yatamuua hakii [emoji23][emoji23]Kwahio blaza wewe ulishafanikiwa kujiajiri au kuajiriwa?View attachment 1644361
Limbukeni mtoa madasisi wabongo unafik ni kitu cha kawaida aisee, dizaini ya mtoa mada wapo wengi sana mtaan, unaweza kusota na mwana miaka nenda miaka rudi ila akifanikiwa kidogo tu bac anawaona wana ni wazembe na wavivu, yeye ndio kayapatia maisha. Sasa sisi tutabet kama kawaida na dem akijipendekeza atagongwa tu hakuna namna. Sio kila mtu ataajiriwa, watz tupo 60m sidhani kama ajira rasmi zinafika 1m nchi nzima.
Spana hii ni inch ngapKwahio blaza wewe ulishafanikiwa kujiajiri au kuajiriwa?View attachment 1644361
Kwanini mvua ina nyesha mda wote alf serikali ipo kimyaTumeshashiba chai...mada ya leo ya kuilaumu serikali ni ipi?