Vijana (Jobless) siku hizi mawazo yao ni Kubet, Ngono, Starehe na Lawama halafu uridhi

Vijana (Jobless) siku hizi mawazo yao ni Kubet, Ngono, Starehe na Lawama halafu uridhi

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Jobless baada ya kupata job less
 
Tunahitajika Kama Taifa kubadili mfumo wetu wa elimu angalau kijana anapomaliza elimu ya sekondari awe na ujuzi wa fani Fulani. Aidha
 
NA WALE WATU WAZIMA WANAOKWENDA KWA MAKAHABA WANAWAZA NINI? HISIA ZAKO HAZIPASWI KUZIDI AKILI ULIYONAYO
 
Back
Top Bottom