ukijidai unaongea vitu vya maana wanakutenga mkuu wanataka ufanane naoIkiwa umegundu hilo ndilo tatizo..Je umefanya jitihada gani kunusuru kizazi chetu au na wewe ni mlalamikaji kama wao?
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Braza unatusariti !!iskariote mkuu
Uzao wa CCM ndio hao joblesshao ndo vijana wa uchumi wa kati mkuu
ππππKwahio blaza wewe ulishafanikiwa kujiajiri au kuajiriwa?View attachment 1644361
[emoji23]Kwahio blaza wewe ulishafanikiwa kujiajiri au kuajiriwa?View attachment 1644361