Vijana (Jobless) siku hizi mawazo yao ni Kubet, Ngono, Starehe na Lawama halafu uridhi

Pesaaa kidogo ushaanza kuwaona jobless walevi na wazinzi, haya mambo hayaπŸ˜…
 
Vijana hawa wasiopenda kujishughulisha hayo ndio maisha yao kuwaza starehe maisha yao ni magumu sana wao huwa wanapenda kubeza juhudi za vijana wengine wanaojishughulisha kwamba hawaoni kinachofanyika mwisho wa siku mtu akitoboa wanajisogeza kupigania mizinga
 
sisi wabongo unafik ni kitu cha kawaida aisee, dizaini ya mtoa mada wapo wengi sana mtaan, unaweza kusota na mwana miaka nenda miaka rudi ila akifanikiwa kidogo tu bac anawaona wana ni wazembe na wavivu, yeye ndio kayapatia maisha. Sasa sisi tutabet kama kawaida na dem akijipendekeza atagongwa tu hakuna namna. Sio kila mtu ataajiriwa, watz tupo 60m sidhani kama ajira rasmi zinafika 1m nchi nzima.
 
Utukome,hatujakuomba hela ya kupiga vyombo
 
Hivi mkuu AJAX Leo atatoa hata double. Chance maana Nina keka la milion hapawaswas wangu n ajax tu au nimpe Atlanta?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…