Vijana (Jobless) siku hizi mawazo yao ni Kubet, Ngono, Starehe na Lawama halafu uridhi

wanaweka wallet kwene mfuko wa nyuma zimetuna utashan hela kumbe mikaratasi ya betting, hawatak kazi wanachagua
 
Eti wanapenda kuita mkuu, mara afisa![emoji28][emoji28][emoji28]

Utasikia taita vipi mshua, tunafanyaje sa!
 
siku hizi wanadai urithi mapemaaaa.....hili ni janga jingine....
 
Mtuache vijana jamani, kukosa ajira sio dhambi lol.
 
Limbukeni mtoa mada
 
Na nyie sindio mnapenda kuitwa hivyo mbele ya mademu zenu ili mpate sifa
 
Hapa kwenye kubeti pigia mstari halafu uondoe hilo neno 'jobless'... ninasema hivyo kwakuwa hata wenye kazi zao nao wamo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…