The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Yuko sahihi. Kina Warioba si ndo walikuwa wanasema "zidumu fikra za mwenyekiti"?
Wanajamvi salaam
Vijana kama hawana msaada kwa maendeleo ya taifa,
Huyu kijana anayezeeka vibaya aliyejitambulisha kwa jina la Joseph Yona mkazi wa Chalinze anasema Jaji Warioba alikuwa Chawa ndo maana akapewa uwaziri mkuu hivyo hana haki ya kukosoa uchaguzi wa serikali za mitaa kwa sababu ulikuwa huru na haki.
View attachment 3170507
Huku ni kujiaibisha ukiwa unajionaPumbavu Sana huyu sio kijana tafadhari ni jitu Zima kabisa
Mmeanza kumkosea Sana baba wa Taifa
Hawa ndio wahuni badae wanakuja kupewa ukuu wa wilaya
Hapa ndio nchi ipate maendeleo??
CCM ni laana kabisa
Kama huyu ni kijana kwa mujibu wa ccm tupo kwenye hasara kubwa
Wanajamvi salaam
Vijana kama hawana msaada kwa maendeleo ya taifa,
Huyu kijana anayezeeka vibaya aliyejitambulisha kwa jina la Joseph Yona mkazi wa Chalinze anasema Jaji Warioba alikuwa Chawa ndo maana akapewa uwaziri mkuu hivyo hana haki ya kukosoa uchaguzi wa serikali za mitaa kwa sababu ulikuwa huru na haki.
View attachment 3170507
Una kumbukumbu nzuriWarioba ni kati ya watu wachache waliokuwa wanamrudisha Nyerere kwenye mstari.
Warioba alipokuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Waziri wa Sheria alikuwa anamfundisha Sheria Nyerere. Nyerere alitaka kufanya mambo nje ya sheria, Warioba akawa anamrudisha kwenye mstari.
Kuna mtu alishitakiwa na serikaki ya Nyerere, akashinda kesi, Nyerere akataka huyo mtu akamatwe tena ashitakiwe upya, Warioba akamwambia Nyerere huyu mtu kisheria hatakiwi kushitakiwa mara mbili kwa kosa moja, hiyo ni "double jeopardy". Akamkataza Nyerere kumshitaki
Nyerere akabaki kulalama lakini alishindwa kupangua hoja ya Warioba ya kisheria.
Hivi karibuni Warioba alieleza jinsi akivyosimamia sheria akipinga matakwa ya Sokoine ya kukamata na kushitaki watu kinyume na sheria, issue mpaka ikaoelekwa kwa Nyerere.
Katika watu waliokuwa wana uwezo mkubwa wa kubushana na Nyerere mmoja wao alikuwa Jiseph Sinde Warioba.
Warioba hajaanza kuwa hivyo anasema anachoona sawa keo, tangu kwenye serikali ya Nyerere alikuwa hivyo.
Na Nyerere alimoenda kwa sababu alimjua huyu jamaa si chawa.
Kambona na Flora walitumwa Uingereza πIla kweli, halafu warioba ndio alikuwa anawa snitch akina Kambona na wenzake
This is called meandering - going off-point.
Wanajamvi salaam
Vijana kama hawana msaada kwa maendeleo ya taifa,
Huyu kijana anayezeeka vibaya aliyejitambulisha kwa jina la Joseph Yona mkazi wa Chalinze anasema Jaji Warioba alikuwa Chawa ndo maana akapewa uwaziri mkuu hivyo hana haki ya kukosoa uchaguzi wa serikali za mitaa kwa sababu ulikuwa huru na haki.
View attachment 3170507
Hapa anatafuta kupewa uteuzi wa kuimba mapambio!Pumbavu Sana huyu sio kijana tafadhari ni jitu Zima kabisa
Mmeanza kumkosea Sana baba wa Taifa
Hawa ndio wahuni badae wanakuja kupewa ukuu wa wilaya
Hapa ndio nchi ipate maendeleo??
CCM ni laana kabisa
Aaahhhh wapiKambona na Flora walitumwa Uingereza π
Aibu yako
Wanajamvi salaam
Vijana kama hawana msaada kwa maendeleo ya taifa,
Huyu kijana anayezeeka vibaya aliyejitambulisha kwa jina la Joseph Yona mkazi wa Chalinze anasema Jaji Warioba alikuwa Chawa ndo maana akapewa uwaziri mkuu hivyo hana haki ya kukosoa uchaguzi wa serikali za mitaa kwa sababu ulikuwa huru na haki.
View attachment 3170507
Kenyatta alijitia kimbelembele πAaahhhh wapi