Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Angetaka kujua angejua tu.Sasa huyu jamaa anaeropoka kuhusu Warioba hapa ataelewaje wakati wakati huo hata mama yake alikuwa hajui kuoga akavutia wanaume ili atunge mimba yake?
Warioba kaongea kwenye uzinduzi wa kitabu cha Sokoine. Huwa anapenda sana kukumbushia historia.
Na kwenye vitabu vya Nyerere vile vitatu wameandika Warioba alivyosimamia sheria mpaka kumkatalia Nyerere mambo yake aliyoyataka nje ya sheria.
Tatizo Yona hataki kusoma wala kusikia, ana ajenda yake.