Vijana kama hawana msaada kwa maendeleo ya taifa, anasema Jaji Warioba alipewa uwaziri mkuu kwasababu alikuwa chawa wa Nyerere hivyo asikosoe uchaguzi

Sasa huyu jamaa anaeropoka kuhusu Warioba hapa ataelewaje wakati wakati huo hata mama yake alikuwa hajui kuoga akavutia wanaume ili atunge mimba yake?
Angetaka kujua angejua tu.

Warioba kaongea kwenye uzinduzi wa kitabu cha Sokoine. Huwa anapenda sana kukumbushia historia.

Na kwenye vitabu vya Nyerere vile vitatu wameandika Warioba alivyosimamia sheria mpaka kumkatalia Nyerere mambo yake aliyoyataka nje ya sheria.

Tatizo Yona hataki kusoma wala kusikia, ana ajenda yake.
 
Wanajamvi salaam
Vijana kama hawana msaada kwa maendeleo ya taifa,

Huyu kijana anayezeeka vibaya aliyejitambulisha kwa jina la Joseph Yona mkazi wa Chalinze anasema Jaji Warioba alikuwa Chawa ndo maana akapewa uwaziri mkuu hivyo hana haki ya kukosoa uchaguzi wa serikali za mitaa kwa sababu ulikuwa huru na haki.

View attachment 3170507
Hii ni hatari kutokuwa na heshima kwa wazee wetu waoheshimika.
 
Angetaka kujua angejua tu.

Warioba kaongea kwenye uzinduzi wa kitabu cha Sokoine. Huwa anapenda sana kukumbushia historia.

Na kwenye vitabu vya Nyerere vike vitatu wameandika Warioba alivyosimamia sheria mpaka kumkatalia Nyerere mambo yake aliyoyataka nje ya sheria.

Tatizo Yona hataki kusoma wala kusikia, ana ajenda yake.
Mzee ana madini, anazeeka na madini yake
 
Angetaka kujua angejua tu.

Warioba kaongea kwenye uzinduzi wa kitabu cha Sokoine. Huwa anapenda sana kukumbushia historia.

Na kwenye vitabu vya Nyerere vile vitatu wameandika Warioba alivyosimamia sheria mpaka kumkatalia Nyerere mambo yake aliyoyataka nje ya sheria.

Tatizo Yona hataki kusoma wala kusikia, ana ajenda yake.

..Mama anapenda kumfuatilia Bwana Yona.

..hata katika hotuba yake kwa Polisi Mama alifanya reference kuhusu matamko ya Yona.

..kwa maoni yangu Yona ni zao la uongozi mbovu wa juu kabisa ktk taifa letu.
 
Hao chawa ama wanajipendekeza ama wanafuata maagizo kutoka juu.
 
Inaonyesha Maoni yake yanaonyesha yeye ndio chawa sasa🤣🤣🤣...

Kama uchawa nikuteuliwa basi Nyerere alikuwa anatoa cheo kwa misingi ya kijana mwenye nidhamu.
 
Eti unaweza kuta jitu kama hili nalo lina familia ( lina mke na watoto)

Wanajamvi salaam
Vijana kama hawana msaada kwa maendeleo ya taifa,

Huyu kijana anayezeeka vibaya aliyejitambulisha kwa jina la Joseph Yona mkazi wa Chalinze anasema Jaji Warioba alikuwa Chawa ndo maana akapewa uwaziri mkuu hivyo hana haki ya kukosoa uchaguzi wa serikali za mitaa kwa sababu ulikuwa huru na haki.

View attachment 3170507
 
Wanajamvi salaam
Vijana kama hawana msaada kwa maendeleo ya taifa,

Huyu kijana anayezeeka vibaya aliyejitambulisha kwa jina la Joseph Yona mkazi wa Chalinze anasema Jaji Warioba alikuwa Chawa ndo maana akapewa uwaziri mkuu hivyo hana haki ya kukosoa uchaguzi wa serikali za mitaa kwa sababu ulikuwa huru na haki.

View attachment 3170507
Umeiweka kwa usahihi kabisa. Tunasubiri fainali mwakani. Patakuwa patamu hapo. Kuna timu zingine zitaogopa kuingia ulingoni. Tunamshauri Mh. Freeman Mbowe amushawishi Jaji Warioba awe mgombea wao kwenye kinyang'anyio cha nafasi ya uraisi kama alivyofanya kwa Lowasa. Tunajua Tundu Lissu atanuna kama alivyonuna Dr Willbroad Slaa kipindi kile cha Lowasa. Akifanya hivyo chadema itarejesha nguvu zake kwa kupata wabunge wengi cha 25% na ruzuku kuongezeka. Achaneni na Tundu Lissu atakiua chama
 
Back
Top Bottom