Sasa huyo anayeishi Belgium anaweza kutekeleza ahadi hizo kweli ama anataka atulete matatizo halafu asepee
Huyu anayetawala nachama chake ametulea kero na matatizo lukuki
1. Uhuru wa kutafuta na kuhabarishana kwa undani haupo tena
2. Mifuko ya kijamii wastaafu au ukiachishwa kazi hupati hela yako mpaka 60yrs
3. Vyombo vyote vya habari vinaripoti ccm pekee .... kwanini
4. Hakuna ajira
5. Mishahara hakuna nyongeza
6. Amani imefichwa kwa kuminya haki
7. Magereza yamefulika watu wasiohatia
8. Elimu, Afya, havina ubora wowote
9. Hata simu zetu sasa hivi hakuna uhuru
10. Bunge live limezimwa, pia limekuwa kibogoyo na kuadhibu wasio ccm
11. Taasisi zote za serikali zimegeuzwa nyege za ccm kuadhibu wapinzani
12. Mwangosi, ally zona, mawazo, Sanane , Azory nk wapo wapi?
Acha upumbavu, ccm nikero taifa hili zaidi ya chochote kile.