Hatuwezi kukubali nchi hii itawaliwe na wahuni na wavuta bangi wa aina yako.Mgonjwa wa akili wewe,
1. Hiyo ndege ya kwake Lisu? Je ukiiuza utajenga viwanda vingapi?
2. Ndege alizonunua maguli zimechukuwa budget ya shilingi ngapi?, tungeamua kujenga viwanda vya nguo tungepata vingapi? Direct employment kiwanda kimoja 4000 workers bado madreva, mama lishe, wachuuzi nk
3. Sasa hivi hiyo midege alonunua Maguful inaingiza kiasigani? Je kunamanufaa yoyote?
Mjinga mkubwa wewe.
Kifupi miaka six zero inawatosha wasepe. Hii ni sawa na kutuambia eti tuendelee kutumia jembe la mkono kwenye kilimo kwani ndiyo asili yetu.Ukosefu wa ajira nchi hii haujasababishwa na corona, upo miaka yote hasa hii ya Magufuli. Kwanza corona Tanzania haipo, sasa hizo ajira zimepoteaje wakati corona haipo?
Ccm kwa miaka zaidi ya 60 imeshindwa kuleta maendeleo leo hii ndio ilete maendeleo?
Magufuli amefanya kitu gani? Kununua ndege na kujenga madaraja? Leo hii karne ya 21, miaka 60 ya uhuru unakuja kutuambia madaraja na ndege ndio mabadiliko ya maendeleo? Wakoloni walifanya haya miaka zaidi ya 60 iliyopita.
Ccm ambayo imekua ikitoa ahadi zisizotekelwzeka kwa miaka 60 unaizungumziaje? Mfano ahadi ya 50m kila kijiji?
CCM hata ipewe miaka 500 haina mbinu mpya tena ya kutuvusha kutoka sehemu moja kwenye nyingine. Hapo ilipofika imegika mwisho.
Sasa huyo anayeishi Belgium anaweza kutekeleza ahadi hizo kweli ama anataka atulete matatizo halafu asepee
Mkuu sikufokei ila nimetoa mfano hai kwa nchi ambazo zimepitia njia mnayotaka kutupeleka
Hatuwezi kukubali nchi hii itawaliwe na wahuni na wavuta bangi wa aina yako.
yeye mbona anapanda tena ya kukodi ambayo ni gharama kuliko ya kawaida? sema wewe ndie huna hela wenye pesa wanapanda akiwemo LisuLissu sio muongo , hauwezi kupanda ndege ukiwa huna ela , Ndege sio dala dala kwamba nauli yake ni Tsh 400, au 40000 mkoa kwa mkoa.
Nyinyi ndio kizazi chenye fikra mfu...Baada ya kufuatilia hotuba nyingi za vyama vya upinzani ninapenda kuwasihi vijana kuwa na tahadhari kwa ahadi zisizoweza kutekelezeka.
Nikianzia suala la ajira ni tatizo la sehemu kubwa duniani watu wamepoteza kazi kwa hali mbaya ya kiuchumi pamoja na tatizo la ugonjwa huu wa COVID19 ulipojitokeza.
Suala la kusema kuwa wakishika madaraka wataruhusu wananchi wataruhusiwa kwenda kuishi kwenye hifadhi ni la upotoshaji mkubwa kwani tukiruhusu utekelezaji huo ina maana utalii utakufa.
Ninatoa mfano nchi ya Misri 2011 wananchi walimuondoa madarakani Rais Hussein Mubarak kupitia chama cha Muslim Brotherhood baada ya chama hicho kutoa ahadi nyingi zisizoweza kutekelezeka kufika mwaka 2013 wananchi hao hao waliiingia mitaani kupinga hicho chama matokeo Jeshi la nchi hiyo likatwaa madaraka tena.
Tumeona hapa majirani zetu Kenya baada ya kuiondoa KANU madarakani na kupata katiba mpya leo wakenya wanaikumbuka KANU kwani Ufisadi na ukabila umekuwa mkubwa sana kufikia kuhatarisha umoja wa nchi hiyo. Katika uchaguzi wa mwaka 2007 wananchi kupitia vyama hivyo vilipigana vita vya kikabila na maelfu ya wananchi walipoteza maisha.
Kwa mustakabali wa nchi yetu Tanzania bado CCM ni chama pekee kinachoweza kuipeleka nchi katika uchumi mzuri na umoja wa kitaifa.
Tusijaribu kufanya kosa kubwa la kutoipigia kura CCM na haswa Rais Magufuli ambaye ameleta mageuzi makubwa ndani ya chama hicho na serikali kwa ujumla.
Hizi ni hoja mfu, probaganda za ccm za kitoto za miaka yote, mara sio raia, mara ana unaia wa uholanzi, mara huyu sijui kafanyaje. Hizi stori muwape wajinga ambao ndio supporters wenu.Sasa huyo anayeishi Belgium anaweza kutekeleza ahadi hizo kweli ama anataka atulete matatizo halafu asepee
Wwe bado mdogo, unaongea tu huijuwi Tanzania vizuri,muulize Mrema Mwaka 95 atakuambia kumbe Tz inawenyewe!!Vijana tutatumia njia ya SANDUKU LA KURA kupata tunachokitaka,hayo ya nchi nyingine usituletee kabisa.
Wapi?Propaganda mfu,Vijana tunaenda na JPM!
Ccm kwa almost half decade wamefanya nini?Baada ya kufuatilia hotuba nyingi za vyama vya upinzani ninapenda kuwasihi vijana kuwa na tahadhari kwa ahadi zisizoweza kutekelezeka.
Nikianzia suala la ajira ni tatizo la sehemu kubwa duniani watu wamepoteza kazi kwa hali mbaya ya kiuchumi pamoja na tatizo la ugonjwa huu wa COVID19 ulipojitokeza.
Suala la kusema kuwa wakishika madaraka wataruhusu wananchi wataruhusiwa kwenda kuishi kwenye hifadhi ni la upotoshaji mkubwa kwani tukiruhusu utekelezaji huo ina maana utalii utakufa.
Ninatoa mfano nchi ya Misri 2011 wananchi walimuondoa madarakani Rais Hussein Mubarak kupitia chama cha Muslim Brotherhood baada ya chama hicho kutoa ahadi nyingi zisizoweza kutekelezeka kufika mwaka 2013 wananchi hao hao waliiingia mitaani kupinga hicho chama matokeo Jeshi la nchi hiyo likatwaa madaraka tena.
Tumeona hapa majirani zetu Kenya baada ya kuiondoa KANU madarakani na kupata katiba mpya leo wakenya wanaikumbuka KANU kwani Ufisadi na ukabila umekuwa mkubwa sana kufikia kuhatarisha umoja wa nchi hiyo. Katika uchaguzi wa mwaka 2007 wananchi kupitia vyama hivyo vilipigana vita vya kikabila na maelfu ya wananchi walipoteza maisha.
Kwa mustakabali wa nchi yetu Tanzania bado CCM ni chama pekee kinachoweza kuipeleka nchi katika uchumi mzuri na umoja wa kitaifa.
Tusijaribu kufanya kosa kubwa la kutoipigia kura CCM na haswa Rais Magufuli ambaye ameleta mageuzi makubwa ndani ya chama hicho na serikali kwa ujumla.
Hana lolote, Majibu ya Kura za Uraisi atakua anayasikilizia huko Belgium, Lissu Sungura sana!!Sasa huyo anayeishi Belgium anaweza kutekeleza ahadi hizo kweli ama anataka atulete matatizo halafu asepee
Kwanin umeniedit?Wapi?
Baada ya kufuatilia hotuba nyingi za vyama vya upinzani ninapenda kuwasihi vijana kuwa na tahadhari kwa ahadi zisizoweza kutekelezeka.
Nikianzia suala la ajira ni tatizo la sehemu kubwa duniani watu wamepoteza kazi kwa hali mbaya ya kiuchumi pamoja na tatizo la ugonjwa huu wa COVID19 ulipojitokeza.
Suala la kusema kuwa wakishika madaraka wataruhusu wananchi wataruhusiwa kwenda kuishi kwenye hifadhi ni la upotoshaji mkubwa kwani tukiruhusu utekelezaji huo ina maana utalii utakufa.
Ninatoa mfano nchi ya Misri 2011 wananchi walimuondoa madarakani Rais Hussein Mubarak kupitia chama cha Muslim Brotherhood baada ya chama hicho kutoa ahadi nyingi zisizoweza kutekelezeka kufika mwaka 2013 wananchi hao hao waliiingia mitaani kupinga hicho chama matokeo Jeshi la nchi hiyo likatwaa madaraka tena.
Tumeona hapa majirani zetu Kenya baada ya kuiondoa KANU madarakani na kupata katiba mpya leo wakenya wanaikumbuka KANU kwani Ufisadi na ukabila umekuwa mkubwa sana kufikia kuhatarisha umoja wa nchi hiyo. Katika uchaguzi wa mwaka 2007 wananchi kupitia vyama hivyo vilipigana vita vya kikabila na maelfu ya wananchi walipoteza maisha.
Kwa mustakabali wa nchi yetu Tanzania bado CCM ni chama pekee kinachoweza kuipeleka nchi katika uchumi mzuri na umoja wa kitaifa.
Tusijaribu kufanya kosa kubwa la kutoipigia kura CCM na haswa Rais Magufuli ambaye ameleta mageuzi makubwa ndani ya chama hicho na serikali kwa ujumla.
2015 wakati wa uchaguzi mliipa CCM kila aina ya jina chafu mfano Ufisadi, Kugawa Migodi, Ukusanyaji mbovu wa Kodi, Matumizi mabaya ya kodi nkHizi ni hoja mfu, probaganda za ccm za kitoto za miaka yote, mara sio raia, mara ana unaia wa uholanzi, mara huyu sijui kafanyaje. Hizi stori muwape wajinga ambao ndio supporters wenu.
Ccm imeshindwa kufanya maendeleo Tanzania kwa miaka zaidi ya 60, leo wana hoja gani?
Leo tunakuja kuambiwa sijui mabeberu, kwani kwa miaka yote hiyo 60 hao mabeberu walikua wanaruhusiwa kutuibia chini ya serikali ya nani?
Hivi huwa mnamwelewa wakati akizungumza huyu jamaa?Kijana La kuambiwa na Lisu Changanya na akili zako .Lisu ana uongo wa kufa mtu
View attachment 1560044
Hata zamani Vespa zilikua Kama Ndege,siyo kila mtu alikua na uwezo wa kuimiliki,lakini Sasa hivi kua nayo ni Kama unauchafu ndani Mwako!!Lissu sio muongo , hauwezi kupanda ndege ukiwa huna ela , Ndege sio dala dala kwamba nauli yake ni Tsh 400, au 40000 mkoa kwa mkoa.
Sijakuelewa ndugu, nimekuedit wapi tafadhali?Kwanin umeniedit?