Vijana kuweni makini na rangi za nguo mnazovaa, nyingine zina maana mbaya sana

***** yaani hao kenge ndio wamejimilikisha rangi?
Shida sio umiliki wa rangi ila ni mpangilio wao ulivyo kaa. Kwa hiyo japo na ww una uhalali wa kuzitumia ila zisiendane nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…