Vijana kuweni makini na rangi za nguo mnazovaa, nyingine zina maana mbaya sana

Vijana kuweni makini na rangi za nguo mnazovaa, nyingine zina maana mbaya sana

Kwanza, unapaswa kutambua kuwa ulimwengu si huo unaoujua wewe pekee. Kwahiyo, usidhani kile unachofahamu wewe ndiyo kanuni, hata kidogo. Aliyekwambia kila mtu anatambua hiyo ni bendera ni nani? Kwako inaweza kuwa bendera , kwa mwingine ni rangi tu kama rangi zingine, kaamua kuzipanga akavaa, akapaka nyumba yake ama vyovyote atakavyo. Kwake ikawa na ujumbe ama mguso tofauti kabisa.

Pili, kuwa inatambuliwa na umoja wa mataifa si tatizo na wala haifuti hoja yangu ya awali hapo juu. Kwani, mbona dhana yenyewe ya ushoga inatambuliwa na bado kuna ukinzani mkubwa kati ya taifa moja na lingine? Huu ni ushahidi kuwa tuna mitazamo tofauti ya ulimwengu na mambo yake. Kinachofanyika huwa ni kulazimishana, iwe kwa lengo zuri ama baya.

Zingatia
Ninaandika haya si kwamba sijui harakati za LGBTQ [ lesbian, gay, bisexual, transgender, and questioning (or queer)]. Na wala sipo hapa kupinga uwepo wao ama harakati zao. Ninafahamu vizuri, isipokuwa nakuonesha upande wa pili wa shilingi. Mimi ninakuonesha udhaifu wa hoja yako tu kwa kudhani hicho usemacho ndiyo ukweli wa dunia wakati haipo hivyo. Hatuwezi kumtafsiri kila mtu avaae T-shirt ya njano/nyekundu ni mchezaji/shabiki wa yanga/simba. Rangi hizi zipo duniani kote na kila mtu huvaa kwa namna anavyojisikia na kuitafsiri atakavyo. Hii hajalishi nani ameitumia.
😀😀😀Hoja yako dhaifu sana. Kwanini Tanzania tusipeperushe bendera ya Jamaika kwa sababu ni rangi tu zipo duniani? Au bendera zina maana gani? Kwa hiyo ww unaunga mkono kisiri siri hizo haraka?
 
😀😀😀Hoja yako dhaifu sana. Kwanini Tanzania tusipeperushe bendera ya Jamaika kwa sababu ni rangi tu zipo duniani? Au bendera zina maana gani? Kwa hiyo ww unaunga mkono kisiri siri hizo haraka?
Wala! Ni vile kuna kitu unalazimisha tu na hivyo kuwa na upofu kwa kile nisemacho. Hoja yangu wala si kupinga wala kupromote kundi husika. Mimi ninahoji matumizi ya rangi. Si lazima watu waitii hiyo bendera kisa tu kuna watu wanaitumia wajuavyo wao. Kitu hiki hakipo. Mtu anaweza kufanya atakacho na asiwe na wazo la kundi hilo. Aidha, Tz kutotutumia bendera ya Jamaica ni suala la nasibu tu ni kama vile kufanana pia. Kuna nchi bendera zinafanana rangi, nyingine huwezi hata kutofautisha, Chad na Romania kwa mfano. Sasa wewe utasema kwakuwa Romania walitangulia basi Chad kawaiga. Tabu sana! Tazama hapa

Kwa hiyo bendera zina maana au hazina maana? Ili twende sawa
 
Kwa hiyo bendera zina maana au hazina maana? Ili twende sawa
Ninadhani unapenda tu kuendeleza mjadala huu. Kwanini zisiwe na maana? Maana zipo kwa wahusika, wale wanaoshare huo utamaduni pamoja tu. Ukivuka mipaka tu , tegemea maajabu. Yale unayodhani kweni mwiko, yaweza kuwa baraka kwa wenzako ama kinyume chake. Cheki yule mcheza kabumbu Mbo Mpenza aliyechezea Ubelgiji (ana asili ya Kongo-sina hakika). Pamoja kwamba tunatofautiana katika kuandika, lakini, ukitamka hiyo Mbo ni shida kwa wazungumzaji wa Kiswahili. Hali ni hiyohiyo kwa maneno mengine kama kambi ya wakimbizi ya Kakuma kaskazini mwa Kenya na mifano mingine mingi tu. Ni wazi maneno yote haya yana maana kwa wahusika. Kwahiyo, huwezi kuwakataza kina Mbo wasiitane hivyo kisa kwa Waswahili ni mwiko. Pia, huwezi kukataza jina la Kakuma kwakuwa kwetu ni mwiko. Wao wana maana yao na nyinyi mna maana yenu. Na hii ndiyo maana ya utamaduni.
 
Na ule upinde wa mvua unaotokeaga wakati mvua unataka kunyesha tusemeje sasa? Kwamba MUNGU na yeye ana support ushoga??
Hiyo ni nature mzee tofauti na mipango ya mwanadamu.
Kwa hiyo unahalalisha kumnyoshea mtu dole la kati kisa Mungu kaliumba?
 
Ninadhani unapenda tu kuendeleza mjadala huu. Kwanini zisiwe na maana? Maana zipo kwa wahusika, wale wanaoshare huo utamaduni pamoja tu. Ukivuka mipaka tu , tegemea maajabu. Yale unayodhani kweni mwiko, yaweza kuwa baraka kwa wenzako ama kinyume chake. Cheki yule mcheza kabumbu Mbo Mpenza aliyechezea Ubelgiji (ana asili ya Kongo-sina hakika). Pamoja kwamba tunatofautiana katika kuandika, lakini, ukitamka hiyo Mbo ni shida kwa wazungumzaji wa Kiswahili. Hali ni hiyohiyo kwa maneno mengine kama kambi ya wakimbizi ya Kakuma kaskazini mwa Kenya na mifano mingine mingi tu. Ni wazi maneno yote haya yana maana kwa wahusika. Kwahiyo, huwezi kuwakataza kina Mbo wasiitane hivyo kisa kwa Waswahili ni mwiko. Pia, huwezi kukataza jina la Kakuma kwakuwa kwetu ni mwiko. Wao wana maana yao na nyinyi mna maana yenu. Na hii ndiyo maana ya utamaduni.
Mpaka hapo tuko pamoja,kwa hiyo hii bendera ina maana gani Kwa tafsiri ya kiswahili? Ukijibu vizuri mjadala unafungwa
Gay_Pride_Flag.svg.png
 
Mpaka hapo tuko pamoja,kwa hiyo hii bendera ina maana gani Kwa tafsiri ya kiswahili? Ukijibu vizuri mjadala unafungwaView attachment 1892337
Ninadhani wala huelewi nisemacho. Kwanza tuweke sawa hapa jambo moja. Hatuna ulazima wa kuitafsiri kwa Kiswahili. Maana si mimi wala wewe anaejua atakaeitumia anaitumia kwa kufuata utamaduni wa Kiswahili ama vinginevyo. Aidha, sioni haja ya kuhangaika kutafuta maana kwa anaetumia , maana yaweza kuwa yeyote au isiwe na maana pia. Hoja yangu ni kwamba si lazima maana inayotumika na mtu ama kikundi X iwe ndo hiyohiyo kwa Y. Tena unaweza wewe kutangulia kutumia,mimi nikaja kutumia kwa maana tofauti kabisa. Hili lina ugumu gani kuelewa? Mbona nimekupa mifano mingi tu?

Kwahiyo, mimi sijui maana yake kwa muktadha wa Tz zaidi ya ile ya upinde wa mvua, lakini haimaanishi nikikuona unaitumia basi wewe ni muumini wa LGBTQ. Huu ndo msingi wa hoja yangu. Nikupe mfano mwingine. Mtazamo wako ndiyo unaowasumbua baadhi ya watu katika kubaguana. Eti ukimuona mtu ana midevu hadi mdomo hauonekani basi ni Muislamu mwenye imani kali, wakati makasisi wa Othodox pia hufuga ndevu. Kuongezea, wao kasisi wa Othodox na huyo Muislamu pengine wanafuga kwa misingi ya imani za kidini, mimi na Rick Ross tunafuga kwa kujifurahisha tu. Kila mmoja na mtazamo ama hisia zake. Hakuna mtu kumkataza mwenzie , eti, acha hiyo ni ya makasisi/waislamu, acha hiyo ni ya Rick Ross. Huku ni kukosa umakini katika kutafakari,yani,tafakuri tunduizi.

Ninadhani wala huelewi nisemacho. Kwanza tuweke sawa hapa jambo moja. Hatuna ulazima wa kuitafsiri kwa Kiswahili. Maana si mimi wala wewe anaejua atakaeitumia anaitumia kwa kufuata utamaduni wa Kiswahili ama vinginevyo. Aidha, sioni haja ya kuhangaika kutafuta maana kwa anaetumia , maana yaweza kuwa yeyote au isiwe na maana pia. Hoja yangu ni kwamba si lazima maana inayotumika na mtu ama kikundi X iwe ndo hiyohiyo kwa Y. Tena unaweza wewe kutangulia kutumia,mimi nikaja kutumia kwa maana tofauti kabisa. Hili lina ugumu gani kuelewa? Mbona nimekupa mifano mingi tu?

Kwahiyo, mimi sijui maana yake kwa muktadha wa Tz zaidi ya ile ya upinde wa mvua, lakini haimaanishi nikikuona unaitumia basi wewe ni muumini wa LGBTQ. Huu ndo msingi wa hoja yangu. Nikupe mfano mwingine. Mtazamo wako ndiyo unaowasumbua baadhi ya watu katika kubaguana. Eti ukimuona mtu ana midevu hadi mdomo hauonekani basi ni Muislamu mwenye imani kali, wakati makasisi wa Othodox pia hufuga ndevu. Kuongezea, wao kasisi wa Othodox na huyo Muislamu pengine wanafuga kwa misingi ya imani za kidini, mimi na Rick Ross tunafuga kwa kujifurahisha tu. Kila mmoja na mtazamo ama hisia zake. Hakuna mtu kumkataza mwenzie , eti, acha hiyo ni ya makasisi/waislamu, acha hiyo ni ya Rick Ross.

Mm nishakuelewa muda sana lakini inaonesha wewe unataka kuhalalisha matumizi ya rangi hizo TANZANIA kwa kisingizio cha utofauti kiutamaduni.

Yote kwa yote ushajua maana ya bendera hiyo(hata kama sio kwa Afrika/TZ) je utaendelea kuvaa na kutumia ingali ushajua?
 
Nilishakwambia ninafahamu suala hili. Isipokuwa sioni sababu ya kulazimisha watu wasitumie rangi hizo kwa kuwa tu wewe na mimi tunafahamu hivyo. Hii si kweli. Mimi ninafahamu watu kibao Wakristo huvaa kanzu zile za Kiislamu, wala hawana taimu na huo uslamu na hawajawahi kuwaza kusilimu. Pia, wazungu wa Scotland, huvaa vazi la jadi liitwalo Kilt. Kwasisi tusiofahamu tunaona ni sketi. Lakini wenyewe wanajua kutofautisha sketi na kilt. Na wamekuwa hivyo kwa karne kadhaa, hawajawahi kuwa wanawake japo sisi tunaona ni vazi la kike.

Ila mkuu nimekuelewa vizuri sana,ila pia angalia watu wanakuonaje au kukuchukuliaje. Ni kweli sio sheria ila mtazamo kwa wale wanaojua tayari,huoni kama unachafua taswira yako?
 
Ila mkuu nimekuelewa vizuri sana,ila pia angalia watu wanakuonaje au kukuchukuliaje. Ni kweli sio sheria ila mtazamo kwa wale wanaojua tayari,huoni kama unachafua taswira yako?
Kwanza, hapa sijiongelei mimi au wewe. Nilijaribu kukuonesha madhara ya kujaji vitu kwa mazoea. Yani , si kwamba sikujua lengo lako, nilikuelewa sana,lakini, nilitaka kukuonesha udhaifu wa kutofikiri kwa mapana. Hapo hatukuwa tunajadili madhara ya mtazamo, bali tunatazama ukweli wa hoja yako. Kuhusu madhara, hii ni kitu kingine. Hili wala si swali, ni wazi watu wasiowaza kwa mapana husababisha madhara kwenye jamii. Hii si kwenye rangi tu, fikiria hata mitazamo ya kisiasa na maisha kwa ujumla. Baadhi yetu ukishahitilafiana nae basi ni adui. Ulaya hawana huo mtazamo wako, mtu anasimamia kile anachoamini. Suala la nitaonekana vipi halina nafasi,cha msingi haki itendeke. Inashangaza tu, wakija kwetu ndiyo kila kitu wanachoona wao ndicho wangependa tukifanye.

Note
Wao kutulazimisha tufanye mambo yao hakumaanishi ndiyo ukweli kama ulivyodai kuleee mwanzo. Hata hapa nchini, kuna vitu jamii inaamini, visivyo na maana kwako wala umuhimu na pengine ni uvunjaji wa haki; unavifuata kibubusa tu, ungekuwa jasiri usingefanya. Rejea kisa cha Obierika na Okonkwo kwenye Things fall apart. Obierika alitofautiana sana na jamii yake kwa kuwatupa watoto wenye hitilafu pindi wazaliwapo (osu). Okonkwo anamuona rafikiye Obierika boya, Obierika anawaona kina Okonkwo wajima mno.
 
Back
Top Bottom