Vijana kuweni makini na rangi za nguo mnazovaa, nyingine zina maana mbaya sana

Vijana kuweni makini na rangi za nguo mnazovaa, nyingine zina maana mbaya sana

Ukienda nchi za wenzetu unaweza kushikwa tako sasa,utasemaje?
Nchi za wenzetu nikafanye nini huko kwa masikini . Sisi Tz ni matajiri . Mambo mengine ni porojo to za mitandaoni hivyo hayana uhalisia . Kama ni hivyo fikiria madesigner wengi wakubwa ni haya mashoga hivyo muache pia kutumia vitu vinavyotengenezwa na wao
 
Hao wanatumika kama vishawishi lakini si kweli. Kwanini hujiulizi biashara nyingi zenye madhara zinatangazwa na watu fulani maarufu watanashati? Biashara kama sigara unachorewa mrembo mkali ukiaminishwa ukivuta utakuwa kama yeye.
 
Sawa mkuu ila hizi rangi zilikuwepo tangu kitambo tu ila ujuaji wetu ndio unatupeleka kwenye hisia kama hizo. Rangi ni kama lugha tu utakuta neno hili kwa mfano " nyoko kwa kabila la kibena wao wanamaanisha mama ila kiswahili sisi tunachukulia kama tusi tena lenye dharau ndani yake . Neno hilohilo nyoko masela wa kibongo ndio linatumika kusifia kitu kizuri.
 
Toka 1960 huko zilikuepo lakini kwa sasa ndio ziko 🔥 ili kushawishi wengine waone kitu cha kawaida.
 
View attachment 1890476
Hizi rangi zimevamiwa sana na vijana wa kitanzania tena bila hata kujua maana yake.
Hizo ni rangi zinazounga mkono jamii ya mapenzi ya jinsia moja
lesbian, gay, bisexual, transgender, intersex, queer/questioning, asexual. (LGTBQ)
nilianza kuona hizi rangi lakini sikuelewa maana yake. Nikajaribu kuuliza nikaambiwa lakini sikuamini.
View attachment 1890489
View attachment 1890490

Nilikuja kuthibitisha nilipoona kwenye EURO 2020 hapo ndio nikafanya uchunguzi zaidi na kupata jibu. Mtaani watu wanavaa kama Kawaida ila rangi hivi ukivalia ULAYA NA MAREKANI basi watajua ni mwanachama mwenzao au unaunga mkono vitendo ambavyo havijulikani kwa Mungu.
Aaagh, na umasikini huu watu watavaa tu hivyo hivyo, kuliko kutembea peku watu watavaa tu
 
Niliwasimanga mashabiki wa arsenal nikipoona ile ishu ya gay gooners ahh kumbe na Chelsea ndo wale wale tuu pumbav.u kabisa
 
Ww unaevaa,unaunga mkono vitendo hivyo
Umeingia kwenye nafsi yangu na kuona nawasapoti? Kesho wakiamua na nguo nyeusi wavae wao, na keshokutwa wakaona na nyeupe inawafaa, wakawa wanafanya mzunguko wa kila rangi unataka kuniambia sasa inabidi nitembee mtupu ili nisiwasupport?
 
Dah mleta mada umenifanya nimwangalie kwa jicho la tofauti bodaboda aliyenileta home jioni hii.
20210813_182610.jpg
 
Acha imani potofu ndugu watu wameumbwa na Mungu hivyo hivyo hauna haki ya kuwahukumu, na kumbuka kuna maovu kuzidi hayo bora ya yule ambaye kazaliwa yupo hivyo kuliko yule anayefanya maovu ambayo wala sio udhaifu wakuzaliwa nao.

sitetei maovu naongelea uhalisia
 
Back
Top Bottom