Vijana kuweni makini na UTI Sugu

Vijana kuweni makini na UTI Sugu

God Fearing Person

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2020
Posts
767
Reaction score
2,570
Nipo hapa hosptali ya Taifa muhimbili tunasubiri kusafirisha Mwili

Kumbe Ukimwi ikasome Mbele ya UTI Sugu hakika vijana acheni kupiga dry mtaisha huyu ni mtu wa nne kama masihara anachapa kavu dry na inamtoa Duniani UTI Sugu hawa wanawake sahivi wanaumwa Sana

Location huku Tabata Kuna hatari mpya watu wanakojoa wamechuchumaa watoto wa kiume kisa UTI Sugu.

Rip homies.
Ndo maana Mimi nimejiunga No Fap challenge kwanza Sina hela za kugharamia matibabu
 
Utaratibu wa kufanya ngono bila udhibiti usipokuwepo, nature inaingilia inaweka udhibiti.

Ni vile tuna ujuaji na ubishi mwingi ila Ukizaliwa ukakuta unaambiwa usifanye ngono kinyume na maumbile, usifanye ngono bila utaratibu ujue waliozaliwa kabla yako kuna sababu iliwafanya wakawa na hayo makatazo.
 
Siamini kama inasababisha UTI.
 
Back
Top Bottom