yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,662
- 3,715
Chanjo ni bei gani mkuuKachome chanjo mjomba mnazi mmoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chanjo ni bei gani mkuuKachome chanjo mjomba mnazi mmoja
Kitu kama 30000 au 20000Chanjo ni bei gani mkuu
Kwani hiyo chanjo ipo dar es salaam pekee au ata mikoani na bei gani!?Kachome chanjo mjomba mnazi mmoja
But it can be influenced by...Hakuna UTI sugu ila kuna Recurrent Urinary Tract infections (RuTI)
MInd you UTI is not sexually transmitted
Kwa mkoa nazani itakua kweny hospital kubwa za mikoa ila Kwa dar mnazi mmoja ndio wachoma hadi za COVID-19Kwani hiyo chanjo ipo dar es salaam pekee au ata mikoani na bei gani!?
Akina gono, kaswende wote baba yao mimiUTI sugu ni hatari mnooo, nilikua naonaga utani.
Class mate wa primary, kafa kisa UTI sugu. Ndo nlipojua kuna magonjwa mengine hayaimbwi ila ni balaa jingine.
Umenena vyema mainstay ni UTI ain't sexually transmitted however it can be influenced byBut it can be influenced by...
Kuna kimsemo huwa Kinatumika sana na Madaktari sana sana Wabobezi (Epidemiologist&biostatistics) UTI in Male is UNCOMMON so find the sources..
Mbona umetoa very contradicting statement.UTI is not sexually transmitted, but unsafe sex can jump start the infections.
Unasikia raha sasa na vichupa hivyoVya genye
Hiyo urine transmitted infection ndo ungonjwa gani mkuu? Kama upo huenda unaambuliza kwa sexurine transimited infection. Inaambukiza kwa njia ya ngono zembe pia.
Na wazee pia wanasumbuliwa sana na UTIWatu bongo zimesizi,, hawajiulizi hata watoto wa miaka 3 wanaumwa hiyo UTI sasa sijui wanakuwa wamedinywa na nani
Acha siasa mkuuTusichanganye UTI na magonjwa ya ngono. UTI haiambukizwi kwa njia ya ngono. STD ndio zinaambukizwa kwa njia ya ngono.
But when you find it in Male Put a red Flag on it 🚩..cuz epidemiologicaly male ain't succeptible to UTI... You have to find the sources na madaktr wengi wanachokosea katika kutibu ni kuwaregard male and female kuwa sawa kimatibabu linapokuja swala la UTI and hence create nonresponse (Drugs resistanse) of drugs hence Drugs failure na baadae huyu mtu mwwnye resistant bacteria anawaambukiza wwngine the traits ambayo ni non response kutokana tu na uzembe wa utibuji and hence the traits inakuwa hard kuitreat.Umenena vyema mainstay ni UTI ain't sexually transmitted however it can be influenced by
Nilishawahi kupiga deki demu 1 wa Singida, kesho yake nilivoamka koo linauma kama nimemeza wembe.Hapo ndo ujichanganye unyonye dem mwenye UTI sugu hiyo koo inakua chekeche
Inabidi uchukuwe tahadhari kwa kupata chanjo katika vituo vya afya kote nchini baadhi wanachaji 30k kupata chanjo yake.Kwenye mwendokasi na daladala tutapona kweli?
Hatareeee sanaaaa.Akina gono, kaswende wote baba yao mimi
By U.T.I
Mimi nikinywa tuu soda UTI inanipiga...Dadeki!!Watu bongo zimesizi,, hawajiulizi hata watoto wa miaka 3 wanaumwa hiyo UTI sasa sijui wanakuwa wamedinywa na nani