Vijana kuweni makini na UTI Sugu

Vijana kuweni makini na UTI Sugu

Mbona umetoa very contradicting statement.
Kwa uelewa wangu Mimi UTI can also be transmitted through unsafe sex
Daktari wangu ndivyo alivyoniambia. Ukisoma mtandaoni science journals na hizo biological reports inasema wazi UTI is not an STD...but performing unsafe sex can be one way of getting infected.
 
Nipo hapa hosptali ya Taifa muhimbili tunasubiri kusafirisha Mwili

Kumbe Ukimwi ikasome Mbele ya UTI Sugu hakika vijana acheni kupiga dry mtaisha huyu ni mtu wa nne Kama masihara Anachapa kavu...
Hiyo fap nilikaza kwa siku nne tu chaliii!!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Challenge zingine za kiseng sana. Ukianza tu ndo wanawake wazuri wanajitokeza
 
Hiyo fap nilikaza kwa siku nne tu chaliii!!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Challenge zingine za kiseng sana. Ukianza tu ndo wanawake wazuri wanajitokeza
Hahahaha hii No fap nilijaribu bhana ila kwa siku 30 tu kilichokuja baaday Hahaha 🤣🤣🤣 Mungu anajua tu kuna kipsychology fulan kinaanza kuibuka kila Demu unamuona mzuri 🤣🤣🤣 hata wabovu hii inataka moyo
 
Utaratibu wa kufanya ngono bila udhibiti usipokuwepo, nature inaingilia inaweka udhibiti.

Ni vile tuna ujuaji na ubishi mwingi ila Ukizaliwa ukakuta unaambiwa usifanye ngono kinyume na maumbile, usifanye ngono bila utaratibu ujue waliozaliwa kabla yako kuna sababu iliwafanya wakawa na hayo makatazo.
🎤🎤
"....Duniani ukimwi pekee tu ndiyo uvumao..
Lakini kuna mengine madogodogo ya hatari kama kaswende malengelenge gono."
 
Tusichanganye UTI na magonjwa ya ngono. UTI haiambukizwi kwa njia ya ngono. STD ndio zinaambukizwa kwa njia ya ngono.
Jidanganye mwenyewe
Unautaalam hata kidogo wa mambo communicable disease?
 
Hiyo fap nilikaza kwa siku nne tu chaliii!!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Challenge zingine za kiseng sana. Ukianza tu ndo wanawake wazuri wanajitokeza
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tusichanganye UTI na magonjwa ya ngono. UTI haiambukizwi kwa njia ya ngono. STD ndio zinaambukizwa kwa njia ya ngono.
Anal sex, a.k.a kwa mpalange, a.k.a ndogo, a.k.a 'kula jicho' inaweza kumsababishia 'mende' apate UTI anapotumbukiza upanga wake kwenye ala (Sword sheath). Namaanisha mabasha wanapo zama topeni bila mpira wa kinga.
 
Back
Top Bottom