Mabula Msirikale
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 657
- 1,540
Kwenye mwendokasi na daladala tutapona kweli?Hata homa ya ini inaambukiza kupitia mgusano wa Ngozi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye mwendokasi na daladala tutapona kweli?Hata homa ya ini inaambukiza kupitia mgusano wa Ngozi.
Mwanamke na yeye uti inaweza kumuua
Sijajua sasa, ila nahisi kwa wanaume ndo wanakufa kwaa haraka.Mwanamke na yeye uti inaweza kumuua
Ahsanteeee kwa somoo Daktaree.Hakuna UTI sugu ila kuna Recurrent Urinary Tract infections (RuTI)
MInd you UTI is not sexually transmitted
Unatoa ushauri gnSijajua sasa, ila nahisi kwa wanaume ndo wanakufa kwaa haraka.
Usicheze dryUnatoa ushauri gn
Kavu kavu sio mpango.Unatoa ushauri gn
SawaKavu kavu sio mpango.
Watu bongo zimesizi,, hawajiulizi hata watoto wa miaka 3 wanaumwa hiyo UTI sasa sijui wanakuwa wamedinywa na naniWATANZANIA, UTI HAIAMBUKIZWI KWA KUDINYANA. SOMENI BASI ATA KIDOGO.
urine transimited infection. Inaambukiza kwa njia ya ngono zembe pia.Tusichanganye UTI na magonjwa ya ngono. UTI haiambukizwi kwa njia ya ngono. STD ndio zinaambukizwa kwa njia ya ngono.
Kachome chanjo mjomba mnazi mmojaKwenye mwendokasi na daladala tutapona kweli?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwambaaa??Ndo maana wanaume wengi wamechubuka midomo [emoji41][emoji41]
Aisee inaitwa urinary tract infections inaweza kua Upper tract au lower mkuu sio urine transmitted infectionsurine transimited infection. Inaambukiza kwa njia ya ngono zembe pia.