Nitajidanganyaje? Urinary tract, vaginal canal, matundu tofauti hayo boss. Naelewa nachoandika. UTI ni tofauti na STI. Sijataka kuandika kitaalam sana tutakimbiana.Jidanganye mwenyewe
Unautaalam hata kidogo wa mambo communicable disease?
Nimefanya epidemiology na nimeandika papers kijana. Watanzania kila mtun anajikuta mjuaji, daktari. Simple tu. UTI ukitembea na mwanamke kawaida huwezi kuipata labda uongize kwenye urethra yake, 🤣 ukifanya vaginal sex ukiumwa inaita STI au STD.