God Fearing Person
JF-Expert Member
- Apr 5, 2020
- 767
- 2,570
IkojeUTI sugu ni hatari mnooo, nilikua naonaga utani.
Class mate wa primary, kafa kisa UTI sugu. Ndo nlipojua kuna magonjwa mengine hayaimbwi ila ni balaa jingine.
NdioAisee.... Kumbe Kula kimasikhara inapelekea kufa kimasikhara
Inaambukizwa mkuu...Tusichanganye UTI na magonjwa ya ngono. UTI haiambukizwi kwa njia ya ngono. STD ndio zinaambukizwa kwa njia ya ngono.
Inasababisha UTI?Waambie waache ufiraji
Mie nilikua nawaza km wee, ila kuna mdada ni Dr ndo alinielekeza kuna UTI inaambukizwa kwa unsafe sex pia.Tusichanganye UTI na magonjwa ya ngono. UTI haiambukizwi kwa njia ya ngono. STD ndio zinaambukizwa kwa njia ya ngono.
Mie najua UTI iliokomaa.Ikoje
Siamini kama inasababisha UTI.Utaratibu wa kufanya ngono bila udhibiti usipokuwepo, nature inaingilia inaweka udhibiti.
Ni vile tuna ujuaji na ubishi mwingi ila Ukizaliwa ukakuta unaambiwa usifanye ngono kinyume na maumbile, usifanye ngono bila utaratibu ujue waliozaliwa kabla yako kuna sababu iliwafanya wakawa na hayo makatazo.
Hiyo ndo huponi ?Mie najua UTI iliokomaa.
YesHiyo ndo huponi ?
Azuma mimi hazijawahi kunisaidia.Asante.
Power Safe(Ceftriaxone)zinadunda
Azuma ndo kabisa.
Sijasema inasababisha boss.Siamini kama inasababisha UTI.