Vijana kuweni makini na UTI Sugu

UTI hiyo ni noma sana na inauwa, unajikuta unakula pisi iliyoenda shule ila wapi kumbe ina UTI noma na nusu.

Mi imewahi nitokea siku moja hivi nilikula bonge ya pisi afu inajua kuoga......nikaona hapa nimepata pisi kumbee baada ya hapo ni UTI kali vibaya mno......
 
Humu kuna wanafunzi wanao soma afya, kuna madactari wa kujitegemea wale akina niletee dawa hii, na wazoefu, pamoja na MD.

Wengi wetu tunaugua STI'S tunasingizia UTI
 
Sasa wakuu... Mabishano yaishe, tuanze kutaja dawa za hizo UTI na SANA SANA hizi STD tunazodhani kuwa ni UTI.
 
Halafu pisi kali nyingi zina shida mi ilinitokea hyo halafu pisi haijui kama inaumwa

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Kutokea vyooni sawa lakini kwa sex nakataa watoto je tena ndo wahanga wakubwa wa hiyo UTI
Ndio ujue Tanzania ni nchi ya aina gani, anyways usiumize kichwa, watu almost milion 10 walienda loliondo, waganga na waubiri wanajaza kila siku. Jitu kubwa halijui uti ni nini, inasambazwaje nk, aisee. Na anajiamini kabisa yani, eti UTI inasambazwa kwa njia ya kujamiiana. Wakoloni warudi chap.
 
wakuu tunatishana sana bana kama mung kakuandikia utakufa kw maradhi hayo basi utakufa tu ila uti sio gonjw kubwa kama alivyoliweka mtoa uzi maana ukiangalia kw wastani aslmia 58 mpka 60 ya wadada wote wana UTI ingekuw inaua kw kas hvyo wengi tungeshawakosa.....
aliekufa kw uti ni mungu tu alipanga kama wanavykufa wat kwa homa hata mafua pia tumuombee dua tu wakuu
NAOMBA KUWASILISHA
 
Axha wafe kabisa 😹😹😹
 
In
Inatisha jinsi watanzania hawapo informed na vitu vidogo kama hivi. Mtu mzima hajui UTI.
 
In

Inatisha jinsi watanzania hawapo informed na vitu vidogo kama hivi. Mtu mzima hajui UTI.
Ni jambo la kutisha hawa mabinti ni vyema wakechiki afya zao hata kama hawaumwi.
 
CHUKUA MKOJO WAKO WA ASBH EKA CHUMVI YA MABONGE...JIFUTE NAYO KAMA N UTI YA MARADHI MACHFU SEMA KAMA UMETUMWA KUNITENDA URUDI ULIPOTOKA JIPAKE MKOJO NUSU SAA UKAUKE. 1X1 KWA SIKU SABA....SIO KILA UTI N GONJWA MENGINE MAPEPO UNATUPIWA..
Huu sio uchawi mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…