Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba mtu akiwa na UTI sugu ana ngoma hahahahahahahaUTI
FUNGUS
USUGU.UKIPIITILIZA USIJICHOSHE PIMA HIV ANZA MATIBABUUUUU
Bado elimu yako ni ndogo sana kuhusu UTI, jiangaishe kudogo basi ugoogleWatu bongo zimesizi,, hawajiulizi hata watoto wa miaka 3 wanaumwa hiyo UTI sasa sijui wanakuwa wamedinywa na nani
We jaribu tu kula bila kunawa uoneAisee.... Kumbe Kula kimasikhara inapelekea kufa kimasikhara
Acha ubishi mkuuurine transimited infection. Inaambukiza kwa njia ya ngono zembe pia.
Utaratibu wa kufanya ngono bila udhibiti usipokuwepo, nature inaingilia inaweka udhibiti.
Ni vile tuna ujuaji na ubishi mwingi ila Ukizaliwa ukakuta unaambiwa usifanye ngono kinyume na maumbile, usifanye ngono bila utaratibu ujue waliozaliwa kabla yako kuna sababu iliwafanya wakawa na hayo makatazo.
Wakujihangaisha kutafuta elimu ni wewe unaepata UTI kwa kujamiiana,Bado elimu yako ni ndogo sana kuhusu UTI, jiangaishe kudogo basi ugoogle
Hakuna UTI sugu ila kuna Recurrent Urinary Tract infections (RuTI)
MInd you UTI is not sexually transmitted
Kinachotakiwa uamini au ujue kwanza? Sasa unajulishwa lakini bado mbishi lol. Mtafute mtaalamu yeyote wa maswala ya afya umuulize na si kukaza shingo ndugu yangu.Siamini kama inasababisha UTI.
Utaratibu mbona upo wazi. Usifanye ngono hovyo hovyo bila kujilinda. Ngono zembe ni hatari.Weka huo utaratibu wa kufanya ngono ukiachilia mbali suala la kukua mitaro.
Ndo maana wanaume wengi wamechubuka midomo [emoji41][emoji41]
UTI is not sexually transmitted, but unsafe sex can jump start the infections.
Mimi mwenyewe nimevurugwa na hawa.Sasa ndio nini ulichoandika,