Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
VIJANA KWA KUJIPA MATATIZO HAMJAMBO. MAISHA YAKUUNGAUNGA(CHINI YA 1M) BADO UNAOA SINGLE MOTHER'S?
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Mtake msitake lazima muambiwe Ukweli.
Hivi mmekosa wazazi wa kuwashauri? Au ndio mnadharau wazazi na walezi wenu. Maana sidhani kama kuna mzazi mwenye akili timamu atakubali uamuzi wenu.
Kipato chako ni ungaunga mwana. Upo chini ya milioni moja. Yaani uwe unapata 500k, 600k, 800k, 900k au chini ya hapo. Wewe ni ungaunga mwana.
Umaskini wa kwenu. Usikufanye ukajiona umetoboa wakati kipato hicho bado hakikidhi mahitaji yako.
Sasa kosa unalolifanya na kujiangika msalabani. Ni kuoa single mother.
Lazima ujue Single mother wanahitaji mwanaume aliyejitosheleza, mwenye energy, mwenye kipato kizuri. Sio ungaunga mwana.
Fikiria mahitaji yako binafsi.
Fikiria mahitaji ya Single mother.
Fikiria mahitaji ya huyo mtoto wa Single mother. Usijesema anababaake. Babaake wa hiyari ni wewe. Na wewe ndiye utaroa matumizi upende usipende. Na unatakiwa utoe kwa haki kama mtoto wako.
Bado wazazi wako. Bado wazazi wa mkeo. Aiseeh! Bado kujenga. Bado kununua usafiri. Aiseeh! Pole sana kijana.
Wanawake ni wazuri na wanafurahisha ukiweza kuwapa wanachokihitaji. Hilo ulijue.
Udhaifu wao wanawake sio wavumilivu wa matatizo hasa matatizo ambayo mwanaume anayeishi naye anaowajibu wa kuyatatua.
Usije jidanganya.
Vijana. Msijichanganye.
Lazima mjue wanawake hawana simile wanapotaka mambo yao yaende. Hasa kuwahusu watoto wao.
Nimemaliza.
TaikonMaster
Kwa Sasa Dar es salaam