Nyoka kibisa
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 947
- 2,601
Aisee kama hayajakukuta unaweza kuwatetea hawa viumbe lakini yakikukute usiombe.
Ndugu yetu alioa single mother mwenye watoto wawili.
Sisi tulikuwa tunamtania ameoa mtumba GRADE B tulimwambia sana kuhusu hawa viumbe ila mapenzi alikuwa anapewa akapagawa kwanza:
Anadai bibie kitandani anazungusha kiuno kama feni mbovu. Pili akaja akajua udhaifu wa mwamba uko wapi akampatia.
Kilichokuja kutokea ni kwamba huyu single mother kumbe bado alikuwa anakutana na mme wake wa mwanzo kimya kimya mpaka wakazaa mtoto mwingne watatu akiwa kwenye ndoa ya ndugu yetu kiunganishi ni mama yake mdogo na single mother.
Nakwambiaje, mpaka sasa wote paka na mbwa maana mwamba alikuwa anatapa saana mtaani anavyopendwa sasa kimemlamba.
Narudia tena usioe single mother na ukimuoa weka akili yako kuwa umeleta matatizo madogo madogo karibu na nyumban.