Vijana kwa kujipa matatizo hamjambo. Maisha ya kuungaunga (chini ya 1M), bado unaoa single mother?

Vijana kwa kujipa matatizo hamjambo. Maisha ya kuungaunga (chini ya 1M), bado unaoa single mother?

Aisee kama hayajakukuta unaweza kuwatetea hawa viumbe lakini yakikukute usiombe.

Ndugu yetu alioa single mother mwenye watoto wawili.

Sisi tulikuwa tunamtania ameoa mtumba GRADE B tulimwambia sana kuhusu hawa viumbe ila mapenzi alikuwa anapewa akapagawa kwanza:

Anadai bibie kitandani anazungusha kiuno kama feni mbovu. Pili akaja akajua udhaifu wa mwamba uko wapi akampatia.

Kilichokuja kutokea ni kwamba huyu single mother kumbe bado alikuwa anakutana na mme wake wa mwanzo kimya kimya mpaka wakazaa mtoto mwingne watatu akiwa kwenye ndoa ya ndugu yetu kiunganishi ni mama yake mdogo na single mother.

Nakwambiaje, mpaka sasa wote paka na mbwa maana mwamba alikuwa anatapa saana mtaani anavyopendwa sasa kimemlamba.

Narudia tena usioe single mother na ukimuoa weka akili yako kuwa umeleta matatizo madogo madogo karibu na nyumban.
 
 
Oops
Hii Ndiyo Jembe Na Nyundo Ya CCM
Umepiga Nyundo Moja Mpaka Unalazimika Kukaa Chini Kutafakari Upya Maamuzi


*Ukipenda Boga, Penda Na Ua Lake
Tumeshtuliwa Kikubwa
 
Single mothers wanapotaka jambo lao huwa watulivu sana, huyu wa kwangu yupo sawa tu ila ninawaza nikimuweka ndani asije kuja kunibadilikia huko mbeleni.
Wapi ulisikia single maza wabaya mwanzoni?
Kuna mambo mengine yatakuja huko mbele wakati huyo mtoto anakuwa Hana adabu anakuudhi huna cha kumfanya utajikuta unajilaumu Sana.
Nilishaona kero za watoto wa single maza.
 
Wapi ulisikia single maza wabaya mwanzoni?
Kuna mambo mengine yatakuja huko mbele wakati huyo mtoto anakuwa Hana adabu anakuudhi huna cha kumfanya utajikuta unajilaumu Sana.
Nilishaona kero za watoto wa single maza.
Darasa Huru Watu Wapokee Ushauri Hata Kama Hawaupendi
 
VIJANA KWA KUJIPA MATATIZO HAMJAMBO. MAISHA YAKUUNGAUNGA(CHINI YA 1M) BADO UNAOA SINGLE MOTHER'S?

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

Mtake msitake lazima muambiwe Ukweli.

Hivi mmekosa wazazi wa kuwashauri? Au ndio mnadharau wazazi na walezi wenu. Maana sidhani kama kuna mzazi mwenye akili timamu atakubali uamuzi wenu.

Kipato chako ni ungaunga mwana. Upo chini ya milioni moja. Yaani uwe unapata 500k, 600k, 800k, 900k au chini ya hapo. Wewe ni ungaunga mwana.

Umaskini wa kwenu. Usikufanye ukajiona umetoboa wakati kipato hicho bado hakikidhi mahitaji yako.

Sasa kosa unalolifanya na kujiangika msalabani. Ni kuoa single mother.

Lazima ujue Single mother wanahitaji mwanaume aliyejitosheleza, mwenye energy, mwenye kipato kizuri. Sio ungaunga mwana.

Fikiria mahitaji yako binafsi.
Fikiria mahitaji ya Single mother.
Fikiria mahitaji ya huyo mtoto wa Single mother. Usijesema anababaake. Babaake wa hiyari ni wewe. Na wewe ndiye utaroa matumizi upende usipende. Na unatakiwa utoe kwa haki kama mtoto wako.

Bado wazazi wako. Bado wazazi wa mkeo. Aiseeh! Bado kujenga. Bado kununua usafiri. Aiseeh! Pole sana kijana.

Wanawake ni wazuri na wanafurahisha ukiweza kuwapa wanachokihitaji. Hilo ulijue.
Udhaifu wao wanawake sio wavumilivu wa matatizo hasa matatizo ambayo mwanaume anayeishi naye anaowajibu wa kuyatatua.
Usije jidanganya.

Vijana. Msijichanganye.
Lazima mjue wanawake hawana simile wanapotaka mambo yao yaende. Hasa kuwahusu watoto wao.

Nimemaliza.

TaikonMaster
Kwa Sasa Dar es salaam
Je kam yeye ndo ananifanya niishi hapa town
 
🙄
Mkuu ni kama unanisema mimi, nipo kwenye huo mtego ila bado sijafanya maamuzi...
🙄
Mkuu ni kama unanisema mimi, nipo kwenye huo mtego ila bado sijafanya maamuzi...
Sasa na wewe jichanganye na ushapewa taarifa , na wewe utakuja kutuandikia Uzi hapa .

Ukisema , mwanaume usioe singomaza kamwe
🤣🤣🤣🤣
 
Kila siku tunasema single mama sio wa kuoa ni kuwala mbususu nakusepa ivi unatoa wapi nguvu ya kuoa bao la mwanaume mwenzio
 
Back
Top Bottom