Vijana kwa Wazee:Tuwekeze kwenye miti ya Mitiki

Ila mitiki in issue kukua mm ninamtiki 1 hapa mwanza s unamiaka 20 lakini bado unahitaji miaka mingine kama 20 ili uweze kuvunwa


Nahis kma kuna kaugumu kuelewa..hyo ni mbegu ya zaman..zimekuja mbegu mpya F1😊..!tatizo tunajiangalia tu sisi wenyewe..yaan unajipigia umri wako ww tu..Dingi analima balaa..imagine ana 76yrs😂😂..sasa jiulize nan ataifaidi..ni wanaye na jukuuz!
 
Ubarikiwe kwa kutupa moyo.
 

Sehemu gani hasa za hayo maeneo watu wanauza mashamba na kila hekari moja ni kiasi gani? Kama kuna mbegu nyingine ya muda mfupi basi itakua ahueni sana. Ile mbegu ya zamani iliwakatisha sana tamaa watu wa kawaida kujihusisha na kilimo cha mitiki baada ya kuambiwa inachukua miaka mingi kukomaa. Nakumbuka KVTC ndiyo iliyokua kampuni ya kwanza kuingia Kilombero na Ulanga na hicho kilimo cha mitiki. Nitakutafuta tu pm siku si nyingi.
 
kuna mbuga hii njia ya kwenda mbingu..bei zao hazipo stable..wanaangalia na mtu..ukitaka heka nyingi wanapunguza..bt inarange 300k-500k per acre..ila ukienda kwa wenyeji had 200k
 
Kama unataka kufa kwa Stress wekeza kwenye hiyo miti. Inachukua miaka 60 kupata mavuno. Hivyo usiiwekeee maaanani ya miaka 10 au 20 ni UONGO. Soft woods kule Mufindi sawa lkn hizo Hard Woood! Usitafutie watu umaskini na Stroke bureee


Kilimo cha kwenye makaratasi rahisi sanaaaa, ndio hivyo yaani anataja tu miaka, wala ukute hajui mitiki inachukua almost hadi uzee ndio uvune..!!
 
Naomba unijuze wanauza mbegu au miche ao tiki co ,na kama ni miche ni bei gani
 
Ingekuwa vizuri wangeweka matangazo yalivyo wazi kuhusu hiyo miaka minane.
Mambo ya kuambiwa hayajitoshelezi.nane ikawa sitini nimesha invest nitashitaki vipi?
 
naskia za zaman ndo nzuri zina ladha..kuliko hizo mpya..yan naskia hizo mbegu fupi hazina ladha
Yes ni kweli na pia hizi za kisasa life span yake ni ndogo mno kuanzia miaka 15 mpaka 20, lakini mbegu za asili ni life span ni 50+ ndomana wakulima huipendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…