Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,055
- 8,540
Vipi kuhusu maji? au mvua mmoja tu kama ya masika inatosha kuotesha, ama kuna ulazima wa kuwa na machine ya maji kwa ajili ya umwagiliaji kipindi cha ukuwaji wa miti?kufyelekea..kuprun matawi na kuweka shamba safi..
nitumie hio miti whatsapp. namba yangu si unayo?Tubarikiwe wote
Asante Manengelo
Hahahaha halafu kweli sijaona comments zako kule jukwaa la Siasa toka Lowassa aludi Ccm[/QUOTE]😂😂😂😂usinihusishe tena na siasa mkuu😐...njoo tupande miti tu
😉😉😉😉nimechefukwa tu..ila we r very strong baada ya yy kuondoka huwez amin[/QUOTE]Hahahaha halafu kweli sijaona comments zako kule jukwaa la Siasa toka Lowassa aludi Ccm
Hatujachelewa hata hvyoNakumbuka mkuu Malila alitusisitiza sana kuwekeza kwenye miti miaka kadhaa nyuma
Nadhani miti yake na walioelewa itakuwa ipo vizuri....
All the best manengelo
Sent using Jamii Forums mobile app
Atwambie na mda wa kuvuna wenda ikavunwa miaka 30 ijayo.leo tuliambiwa tupande palachch watu wakafyeka miti wakafyeka kahawa wakapanda palachch ndivyo hivyo enzi zile za pareto,kahawa,chai,yaani ushenzi tu hatuna viwanda siriasi kabisa vyenye mahitaji ya vitu hivyo ndio maana tunafeli leo wapi korosho......acheni kuzingua leo unatuletea habari za mtiki....hahahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mknga m1 anaexport parachichi...labda zake hazina ubora
kila mahali mm mwaka jana wamechoma eka 10 mitiki ya miaka 2Aisee nimekupenda ghafla..uwii 30acres..safi sana..mie toka 2015 najua hii ishu lakini sikuwa nimetilia maana..sasa nimekutana na wanaoilima...vitoto vidogo kweli na vimeinvest balaa..arghh..njombe kuna shida ya kuchomeana mashamba...
huo ni uwekezaji...ukifumba macho kwakweli lazima uje ushangilie..!huko bgmy wana hyo mbeg ya muda mfupi?all the best
Mkuu bagamoyo sehemu gani asee, maana nilipandaga mitiki miaka kama mitano iliyopita lakini cha kushangaza inanyauka tuuu. Nina mpango wa kupanda nyingine sasa ambacho sijui na hii mbegu ya muda mfupi nayo itakauka tuu bila sababu ya msingi. Ila ninachohisi ni ukame ndo maana inakauka tuuu
Nilivyokutan nahawa wataalam walisistza kupima udongo
huenda hukupima udongo..bagamoyo ilkua tunaongelea ishu ya nazi.
Naam,Nakumbuka mkuu Malila alitusisitiza sana kuwekeza kwenye miti miaka kadhaa nyuma
Nadhani miti yake na walioelewa itakuwa ipo vizuri....
All the best manengelo
Sent using Jamii Forums mobile app