Mkuu wewe umejiconnect kwa tajiri au kiongozi gani?Vijana wenzangu mjitahidi sana kuyaelewa maisha.
Maisha ya duniani yana formula na hii formula ndio inawafanya baadhi kufanikiwa na kuwa mbele.
Ni muhimu pia wakati una date angalia familia na utulivu wa huyo mdada.
Kuna vijana watatu miaka ya hivi karibuni wameonesha maturity kubwa mno .
Kuna yule kijana alioa mtoto wa JK, alikuwa ni mkiristo na familia ilimwambia abadili dini wampe mtoto . Msela hakurudi nyuma na kwa sasa yupo na familia yake ananyonya mirija ya maisha na watoto wanasoma high class education and international baccalaureate ( IB).
Kuna yule kijana wa kiarusha, ameoa mtoto wa Mwinyi , nae akaambiwa kijana ingia kwenye Islam tukupe mtoto , kijana wetu amekupenda. Kijana hakuomba ushauri kwa yoyote…. Ameingia kwenye Uislam na now ananyonya mirija ya maisha na top connection na viongozi wote wa nchi…. Dini itakusaidia nini kwa mfano
Now tumeona kijana wa kisukuma ameweza penetrate kwenye royal family na ameshapata top government connection as we speak . Kijana hajaangalia Rangi , sura wala tako . Mtoto wa Ruto kichwani yupo vema sana and comes from prime family…. What a maturity kutoka kwa kijana wa kisukuma
Vijana wa kiume angalieni namna ya kuji attach kwenye maisha , education alone haitoshi ….connect your self na usirudi nyuma .
Date strategically, sio una date sababu mtu anajua kula koni….au kuifinyia sijui kwa ndani ….mambo ya ajabu kabisa
Watoto wa kiume kwa sasa ni dili , position yourself ….. Usiwe kijana wa hovyo unaeshinda kwenye SHISHA na POMBE
Kuna matajiri hapo bongo watoto zao wa kike wapo vema tu but hawajaolewa….. weka mitego kijana…. Nenda sehemu wanazokwenda … get connection and show discipline
Mafanikio hayatafutwi , yanategwa kama unavovua samaki vile
Shauri yenu
Nia ya kuwa na mtoto wa ruto ndio habariHuyu mtoto wa RUTO ameleta masimango humu
Nimeji connect kwenye familia ya Maprofessa. Wakati nipo Ocean Road : Mama mkwe akaniambia toka hapo una potential kubwa … akaniingiza kwenye payroll ya WHO . Overtime jamaa nikajikuta majuuMkuu wewe umejiconnect kwa tajiri au kiongozi gani?
Hongera sana mkuu. Tambua sio kila mtu anapata hizo fursa.Nimeji connect kwenye familia ya Maprofessa. Wakati nipo Ocean Road : Mama mkwe akaniambia toka hapo una potential kubwa … akaniingiza kwenye payroll ya WHO . Overtime jamaa nikajikuta majuu
Nipo na mke wangu tumetulia
Nikienda USA naenda kwa ndugu zangu sifikii Hotel
Endeleeni kuangalia makalio na kufinyiwa kwa ndani
Mfano kijana wa kisukuma ni Msomi mzuri , mtu ameshawahi hadi kuonana na malkia … alikuwa tayari kwenye channel …. Don’t be surprised walikuwa connected na mtu kwa mtoto wa RutoFormula iko vizuri, lakini ukizubaa utakuwa mradi sio mume.
Bado dogo yule hajajua sura ya MAISHA hiyo nafasi ataijutia, mkuu vina muda sasa?Gavi kamkataa Binti Mfalme.
Mkuu nothing is free in Freetown.Mfano kijana wa kisukuma ni Msomi mzuri , mtu ameshawahi hadi kuonana na malkia … alikuwa tayari kwenye channel …. Don’t be surprised walikuwa connected na mtu kwa mtoto wa Ruto
Jamaa akaonesha
Maturity
Mwisho wa siku we all need to drink 🍹
I doesnt work all the time, ni combination of perfect timing, luck na akiliVijana wenzangu mjitahidi sana kuyaelewa maisha.