Vijana mkipata nafasi ya kuji attach kwenye royal family, Usirudi nyuma

Vijana wenzangu mjitahidi sana kuyaelewa maisha.

Maisha ya duniani yana formula na hii formula ndio inawafanya baadhi kufanikiwa na kuwa mbele.

Ni muhimu pia wakati una date angalia familia na utulivu wa huyo mdada.

Kuna vijana watatu miaka ya hivi karibuni wameonesha maturity kubwa mno .

Kuna yule kijana alioa mtoto wa JK, alikuwa ni mkiristo na familia ilimwambia abadili dini wampe mtoto . Msela hakurudi nyuma na kwa sasa yupo na familia yake ananyonya mirija ya maisha na watoto wanasoma high class education and international baccalaureate ( IB).

Kuna yule kijana wa kiarusha, ameoa mtoto wa Mwinyi , nae akaambiwa kijana ingia kwenye Islam tukupe mtoto , kijana wetu amekupenda. Kijana hakuomba ushauri kwa yoyote…. Ameingia kwenye Uislam na now ananyonya mirija ya maisha na top connection na viongozi wote wa nchi…. Dini itakusaidia nini kwa mfano

Now tumeona kijana wa kisukuma ameweza penetrate kwenye royal family na ameshapata top government connection as we speak . Kijana hajaangalia Rangi , sura wala tako . Mtoto wa Ruto kichwani yupo vema sana and comes from prime family…. What a maturity kutoka kwa kijana wa kisukuma

Vijana wa kiume angalieni namna ya kuji attach kwenye maisha , education alone haitoshi ….connect your self na usirudi nyuma .

Date strategically, sio una date sababu mtu anajua kula koni….au kuifinyia sijui kwa ndani ….mambo ya ajabu kabisa

Watoto wa kiume kwa sasa ni dili , position yourself ….. Usiwe kijana wa hovyo unaeshinda kwenye SHISHA na POMBE

Kuna matajiri hapo bongo watoto zao wa kike wapo vema tu but hawajaolewa….. weka mitego kijana…. Nenda sehemu wanazokwenda … get connection and show discipline
Mafanikio hayatafutwi , yanategwa kama unavovua samaki vile

Shauri yenu
Kuiacha "dini ya Kikristo" ni rahisi sana lakini sio Kumwacha Kristo Yesu kwa sababu uchwara kama hizo.

Siwezi kuacha vya milele kwa sababu ya vya muda mfupi.

Nahitaji watu ambao Mungu atanipa na sio watu ambao Mimi nitalazimika kujipendekeza kwao kama kupe au chawa!
 
Hii nadhani inawahusu wavulana mchele mchele (wazee wa kitonga)

Mwanaume hatakiwi Kujishusha Kwa mwanamke ili apate kitonga/ulaini wa Maisha.
🤣🤣 endelea na huu mfumo dume

Utachelewa snaa

Hakuna Tatizo kuingia sehemu iliyofanikiwa

Kama una elimu maana yake unaenda kuboresha life bila jasho
Acha mfume dume

Wanawake pia ni Channel za mafanikio kama ilivyo kwa wanaume kwa wanawake

Si unaona risk taker za wadada. Wanaolewa hadi na wazee… mtu kama Jackline ulidhani alifuata dudu kwa Mengi
She was strategically na sasa anakula pension tu

Amka
 
Ukiacha

Stop deluding yourself …. Raha ya milele ulishawahi kuiona ? Kuna alienda na kurudi na kukupa evidence ? Is there any prophet, saint or Guru alienda na akakuletea evudence?

Yani unaamini vitu vilivyoandikwa theoretically with no hard evidence , ila huamini baraka ambazo Mungu anakuletea physically to unlock your life
Aisee
Hakika dini ni ugonjwa mwingine wa akili

Baki ivo ivo , subir Yesu atarudi na atakuokoa
 
Vijana wenzangu mjitahidi sana kuyaelewa maisha.

Maisha ya duniani yana formula na hii formula ndio inawafanya baadhi kufanikiwa na kuwa mbele.

Ni muhimu pia wakati una date angalia familia na utulivu wa huyo mdada.

Kuna vijana watatu miaka ya hivi karibuni wameonesha maturity kubwa mno .

Kuna yule kijana alioa mtoto wa JK, alikuwa ni mkiristo na familia ilimwambia abadili dini wampe mtoto . Msela hakurudi nyuma na kwa sasa yupo na familia yake ananyonya mirija ya maisha na watoto wanasoma high class education and international baccalaureate ( IB).

Kuna yule kijana wa kiarusha, ameoa mtoto wa Mwinyi , nae akaambiwa kijana ingia kwenye Islam tukupe mtoto , kijana wetu amekupenda. Kijana hakuomba ushauri kwa yoyote…. Ameingia kwenye Uislam na now ananyonya mirija ya maisha na top connection na viongozi wote wa nchi…. Dini itakusaidia nini kwa mfano

Now tumeona kijana wa kisukuma ameweza penetrate kwenye royal family na ameshapata top government connection as we speak . Kijana hajaangalia Rangi , sura wala tako . Mtoto wa Ruto kichwani yupo vema sana and comes from prime family…. What a maturity kutoka kwa kijana wa kisukuma

Vijana wa kiume angalieni namna ya kuji attach kwenye maisha , education alone haitoshi ….connect your self na usirudi nyuma .

Date strategically, sio una date sababu mtu anajua kula koni….au kuifinyia sijui kwa ndani ….mambo ya ajabu kabisa

Watoto wa kiume kwa sasa ni dili , position yourself ….. Usiwe kijana wa hovyo unaeshinda kwenye SHISHA na POMBE

Kuna matajiri hapo bongo watoto zao wa kike wapo vema tu but hawajaolewa….. weka mitego kijana…. Nenda sehemu wanazokwenda … get connection and show discipline
Mafanikio hayatafutwi , yanategwa kama unavovua samaki vile

Shauri yenu
Wasukuma tunaenda kutombea ikulu ya Kenya.
 
🤣🤣 endelea na huu mfumo dume

Utachelewa snaa

Hakuna Tatizo kuingia sehemu iliyofanikiwa

Kama una elimu maana yake unaenda kuboresha life bila jasho
Acha mfume dume

Wanawake pia ni Channel za mafanikio kama ilivyo kwa wanaume kwa wanawake

Si unaona risk taker za wadada. Wanaolewa hadi na wazee… mtu kama Jackline ulidhani alifuata dudu kwa Mengi
She was strategically na sasa anakula pension tu

Amka
We umejuaje mkuu hakufata dudu?
 
Hii nadhani inawahusu wavulana mchele mchele (wazee wa kitonga)

Mwanaume hatakiwi Kujishusha Kwa mwanamke ili apate kitonga/ulaini wa Maisha.
Acha wazee wa kuteleza waendelee kudandia mafanikio ya familia nyingine.

Wenzenu wanatoil kupata mafanikio nyie mnawaza jinsi ya kudandia maisha ya watu.

Tafuteni vya kwenu.
 
Back
Top Bottom