Vijana mkipata nafasi ya kuji attach kwenye royal family, Usirudi nyuma

Vijana mkipata nafasi ya kuji attach kwenye royal family, Usirudi nyuma

Nimeji connect kwenye familia ya Maprofessa. Wakati nipo Ocean Road : Mama mkwe akaniambia toka hapo una potential kubwa … akaniingiza kwenye payroll ya WHO . Overtime jamaa nikajikuta majuu

Nipo na mke wangu tumetulia
Nikienda USA naenda kwa ndugu zangu sifikii Hotel

Endeleeni kuangalia makalio na kufinyiwa kwa ndani
Daah aisee tutakoma sie wapenda makalio
 
Vijana wenzangu mjitahidi sana kuyaelewa maisha.

Maisha ya duniani yana formula na hii formula ndio inawafanya baadhi kufanikiwa na kuwa mbele.

Ni muhimu pia wakati una date angalia familia na utulivu wa huyo mdada.

Kuna vijana watatu miaka ya hivi karibuni wameonesha maturity kubwa mno .

Kuna yule kijana alioa mtoto wa JK, alikuwa ni mkiristo na familia ilimwambia abadili dini wampe mtoto . Msela hakurudi nyuma na kwa sasa yupo na familia yake ananyonya mirija ya maisha na watoto wanasoma high class education and international baccalaureate ( IB).

Kuna yule kijana wa kiarusha, ameoa mtoto wa Mwinyi , nae akaambiwa kijana ingia kwenye Islam tukupe mtoto , kijana wetu amekupenda. Kijana hakuomba ushauri kwa yoyote…. Ameingia kwenye Uislam na now ananyonya mirija ya maisha na top connection na viongozi wote wa nchi…. Dini itakusaidia nini kwa mfano

Now tumeona kijana wa kisukuma ameweza penetrate kwenye royal family na ameshapata top government connection as we speak . Kijana hajaangalia Rangi , sura wala tako . Mtoto wa Ruto kichwani yupo vema sana and comes from prime family…. What a maturity kutoka kwa kijana wa kisukuma

Vijana wa kiume angalieni namna ya kuji attach kwenye maisha , education alone haitoshi ….connect your self na usirudi nyuma .

Date strategically, sio una date sababu mtu anajua kula koni….au kuifinyia sijui kwa ndani ….mambo ya ajabu kabisa

Watoto wa kiume kwa sasa ni dili , position yourself ….. Usiwe kijana wa hovyo unaeshinda kwenye SHISHA na POMBE

Kuna matajiri hapo bongo watoto zao wa kike wapo vema tu but hawajaolewa….. weka mitego kijana…. Nenda sehemu wanazokwenda … get connection and show discipline
Mafanikio hayatafutwi , yanategwa kama unavovua samaki vile

Shauri yenu
Kwa minajili hiyo nani atakuwa ameoa?
 
Oa au Olewa na unaye mpenda achana na mawazo hayo. Ruto alimwoa mke wake wakitokea chini sana lakini saivi ni Raisi wa Kenya maisha yanabadilikaga yenyewe. Fanya kazi omba Mungu you never know utakua nani au huyo mwenye maisha ya chini unayemwona atakua nani. Maisha hayana formula, tumia akili zako vizuri.
 
Maisha siku hizi watu wanaviziana sana! Mwanaume anaangalia binti ana nini, katoka wapi. Na binti anamuangalia mwanaume ana nini, ana future gani! 😊
Sio ajabu madogo hawaoi siku hizi!
Anaeuziwa cheni anauziwa cheni bandia, anaetoa hela anatoa hela bandia. 😊
Kuna dada mmoja mtandaoni juzi aliletewa story na binti, huyo binti alisema alikua kwenye mahusiano na mwanaume, akamwambia huyo mwanaume yeye kwao ni first born wadogo zake wanategemea na analipa mkopo ambao mama yake aliuchukua..

Huyo mdada baada ya kumwambia ivo huyo mwanaume, mawasiliano kati Yao yakapungua mwisho wa siku akaona WhatsApp status ya mwanaume, mwanaume ameoa kwingine.

Mwanaume aliona huu ni umaskini akamkimbia mdada, noma sana, watu hawataki kuji-sacrifice kwa wenzao, wanawaza tu watafaidikaje Chivundu
 
Mfano kijana wa kisukuma ni Msomi mzuri , mtu ameshawahi hadi kuonana na malkia … alikuwa tayari kwenye channel …. Don’t be surprised walikuwa connected na mtu kwa mtoto wa Ruto

Jamaa akaonesha
Maturity

Mwisho wa siku we all need to drink 🍹
Yule msukuma alishakuwa na connection kubwa Sana kabla ya kuwa na Charlene Ruto.
Tayari alishaona tundu la maisha alisha toboa.
Kifupi familia ya Rutto watafaidika na msukuma na yeye atafaidika na familia ya Rutto.
 
Vijana wenzangu mjitahidi sana kuyaelewa maisha.

Maisha ya duniani yana formula na hii formula ndio inawafanya baadhi kufanikiwa na kuwa mbele.

Ni muhimu pia wakati una date angalia familia na utulivu wa huyo mdada.

Kuna vijana watatu miaka ya hivi karibuni wameonesha maturity kubwa mno .

Kuna yule kijana alioa mtoto wa JK, alikuwa ni mkiristo na familia ilimwambia abadili dini wampe mtoto . Msela hakurudi nyuma na kwa sasa yupo na familia yake ananyonya mirija ya maisha na watoto wanasoma high class education and international baccalaureate ( IB).

Kuna yule kijana wa kiarusha, ameoa mtoto wa Mwinyi , nae akaambiwa kijana ingia kwenye Islam tukupe mtoto , kijana wetu amekupenda. Kijana hakuomba ushauri kwa yoyote…. Ameingia kwenye Uislam na now ananyonya mirija ya maisha na top connection na viongozi wote wa nchi…. Dini itakusaidia nini kwa mfano

Now tumeona kijana wa kisukuma ameweza penetrate kwenye royal family na ameshapata top government connection as we speak . Kijana hajaangalia Rangi , sura wala tako . Mtoto wa Ruto kichwani yupo vema sana and comes from prime family…. What a maturity kutoka kwa kijana wa kisukuma

Vijana wa kiume angalieni namna ya kuji attach kwenye maisha , education alone haitoshi ….connect your self na usirudi nyuma .

Date strategically, sio una date sababu mtu anajua kula koni….au kuifinyia sijui kwa ndani ….mambo ya ajabu kabisa

Watoto wa kiume kwa sasa ni dili , position yourself ….. Usiwe kijana wa hovyo unaeshinda kwenye SHISHA na POMBE

Kuna matajiri hapo bongo watoto zao wa kike wapo vema tu but hawajaolewa….. weka mitego kijana…. Nenda sehemu wanazokwenda … get connection and show discipline
Mafanikio hayatafutwi , yanategwa kama unavovua samaki vile

Shauri yenu
Aise watu tunatofaytiana yaani mie kuoa mwanamke mbaya eti kisa ana akili au katokea familia ina hela hilo wacha nife fukara but nope naoa mwanamke mzuri maana furaha yangu mie kama mwanaume ni kukojolea pazuri.
 
Kwa minajili hiyo nani atakuwa ameoa?
Ukisoma story ya mtume wako Muhammad utaelewa

Alioa familia ya HADIJA
Alijiattach kwenye ulaji pia

Historians admit kuwa baadhi ya ndoa za Muhammad zilikuwa ni kujiattach na higher families

Code za maisha unazo
Ili ufanikiwe ondosha uoga kwanza
na jifunze kujiamulia mambo
 
Back
Top Bottom