Vijana mkipata nafasi ya kuji attach kwenye royal family, Usirudi nyuma

Vijana mkipata nafasi ya kuji attach kwenye royal family, Usirudi nyuma

Mpaka kujiattach lazima nawewe uwe na kitu kinachoweza kukuweka hapo, kuna sehemu ukiji-position atajishtukia mwenyewe kama huna kitu cha ku contribute. Inasemekana mwamba katoa 143.9B kama mahari, sasa kama huna kitu huwezi fika high table.

We know, "fake it till you make it really" kuna vitu vinatokea accidentally tu, na mara nyingi demu/huyo mwanamke awe attracted nawewe. And not otherwise
 
Umeongea ukweli. Daima yaangalie mahusiano katika jicho la kibiashara. Hili suala wanawake wameli-master. Wanaume ndio tunajifanya tuna unconditional love.

Umemsahau jux pia. Jamaa kumuoa Priscilla bila shaka alilenga kuingia kwenye soko la Nigeria.
 
Ukiacha
Kuiacha "dini ya Kikristo" ni rahisi sana lakini sio Kumwacha Kristo Yesu kwa sababu uchwara kama hizo.

Siwezi kuacha vya milele kwa sababu ya vya muda mfupi.

Nahitaji watu ambao Mungu atanipa na sio watu ambao Mimi nitalazimika kujipendekeza kwao kama kupe au chawa!
Maada ya mleta maada ni nzuri ila Kuna vitu havijui

Kijana aliyeoa kwa mwinyi hakubalisha dini Bali walifunga ndoa kanisani tena st Joseph na yule binti wa mwinyi hakuwa mwisilam Bali alikuwa mkristo kwa dini ya mama yake
 
"...Oa binti anayetoka kwenye famila ambayo iko chini ukilinganisha na familia yenu...", by Eli Cohen.
🔥🔥🔥

HAKUNA UBISHI HAPA .

UNAPOOA DEMU ALIE CHINI KIMAISHA YAKO NA FAMILIA YAKO ANAKUWA SUBMISSIVE KWAKO NA ILI NDOA IWE ITULIE LAZIMA MMOJA AWE MASTER

SAASA NGOJA UJICHANGANYE UOE DEMU KWAO WANA HARRIER ALAFU ANA MAKEBO MAKUBWA NDIO UTAJUA HAUJUI😁😁
 
🤣🤣 endelea na huu mfumo dume

Utachelewa snaa

Hakuna Tatizo kuingia sehemu iliyofanikiwa

Kama una elimu maana yake unaenda kuboresha life bila jasho
Acha mfume dume

Wanawake pia ni Channel za mafanikio kama ilivyo kwa wanaume kwa wanawake

Si unaona risk taker za wadada. Wanaolewa hadi na wazee… mtu kama Jackline ulidhani alifuata dudu kwa Mengi
She was strategically na sasa anakula pension tu

Amka
Unamaanisha wanaume wanatakiwa kudanga/kuishi na mentality ya kudanga ?

Mara nyingi wavulana wanokimbilia kitonga cha maisha kwa wanawake waliotoka familia zenye uwezo wanaishia kuangukia pua (kukosa Uhuru WA Uanaume)

Mwanaume anatakiwa kuwa huru kabla ya kuingia kwenye mahusiano, wakati na baada.

Usione vinaelea vimeundwa.

ndo hii unakuta mtu anakosa Uhuru kwenye mahusiano yake na kuishia kuishi kwenye mfumo wa utaki utataka. Kwa ufupi wapo wavulana hawana Uhuru kwenye mahusiano yao Kwa sababu ya kutanguliza mihemko ya njaa. unakuta mvulana anapangiwa akae wapi, aishi wapi, aonge nini, ale nini, anywe nini sometime hata maamuzi yale ya kawaida kabisa anapangiwa na familia ya mke wake. It's crazy.

Simpangii mtu, lakini Uhuru wa mwanaume ni kitu no.1 kwenye mahusiano yoyote. Mwanaume ndo anatakiwa kua na kauli ya mwisho kwenye mahusiano yake.
 
Vijana wenzangu mjitahidi sana kuyaelewa maisha.

Maisha ya duniani yana formula na hii formula ndio inawafanya baadhi kufanikiwa na kuwa mbele.

Ni muhimu pia wakati una date angalia familia na utulivu wa huyo mdada.

Kuna vijana watatu miaka ya hivi karibuni wameonesha maturity kubwa mno .

Kuna yule kijana alioa mtoto wa JK, alikuwa ni mkiristo na familia ilimwambia abadili dini wampe mtoto . Msela hakurudi nyuma na kwa sasa yupo na familia yake ananyonya mirija ya maisha na watoto wanasoma high class education and international baccalaureate ( IB).

Kuna yule kijana wa kiarusha, ameoa mtoto wa Mwinyi , nae akaambiwa kijana ingia kwenye Islam tukupe mtoto , kijana wetu amekupenda. Kijana hakuomba ushauri kwa yoyote…. Ameingia kwenye Uislam na now ananyonya mirija ya maisha na top connection na viongozi wote wa nchi…. Dini itakusaidia nini kwa mfano

Now tumeona kijana wa kisukuma ameweza penetrate kwenye royal family na ameshapata top government connection as we speak . Kijana hajaangalia Rangi , sura wala tako . Mtoto wa Ruto kichwani yupo vema sana and comes from prime family…. What a maturity kutoka kwa kijana wa kisukuma

Vijana wa kiume angalieni namna ya kuji attach kwenye maisha , education alone haitoshi ….connect your self na usirudi nyuma .

Date strategically, sio una date sababu mtu anajua kula koni….au kuifinyia sijui kwa ndani ….mambo ya ajabu kabisa

Watoto wa kiume kwa sasa ni dili , position yourself ….. Usiwe kijana wa hovyo unaeshinda kwenye SHISHA na POMBE

Kuna matajiri hapo bongo watoto zao wa kike wapo vema tu but hawajaolewa….. weka mitego kijana…. Nenda sehemu wanazokwenda … get connection and show discipline
Mafanikio hayatafutwi , yanategwa kama unavovua samaki vile

Shauri yenu
Acha hizo mambo...
Ndoa ni kitu ingine.

Kuna jamaa yangu wameoa huko ila wanaishi kama kondoo...

Wanaume tunapenda uhuru...

Uhuru wako ni bora kuliko mafanikio lukuki
 
Back
Top Bottom