Vijana mkipata nafasi ya kuji attach kwenye royal family, Usirudi nyuma

Vijana mkipata nafasi ya kuji attach kwenye royal family, Usirudi nyuma

hahha..vijana bwana...mi tulianza na huyu wangu from ziro ..leo tumekuwa kivuli kwa wengi...siri ni kufanya kazi ..kupata maarifa yatakokufanya uwe the best version of yourself....tambuen hilo..wote mnaowasifu wameteseka na kupata maarifa yaliyowainua na kuwadikisha hapo...
Kwa hiyo pambaneni..unlock your potential na maisha mtayapatia..huwezi kuwa mchoma mkaa halafu ukutane na bint kaliba ya charlene..au boda boda halafu ukutane na bint yangu Blanca au Bianca ambao exposure,elimu na mar8fa waliyo nayo ni ya level za juu sana..so level yako ndo itadetermine ukutane na nani na wapi...japo kwenye maisha kila mtu na bahati yake....
Upo sahihi na ndio maana nilisema elimu pekee haitoshi

You need networking na kuji attach ,
Ukiwa umesoma au any great skills jamii itakusikiliza

Kama mwanamke yupo vema kichwani familia bora na amekuelewa usisite
Ingia humo na explore your code

Nilikutana na dada wa kutoka familia ya maprofesa way back , hana tako wala hajui mambo ya kufinyia kwa ndani kama wala wahuni wa sasa

But kichwa kipo vema balaa , wakati nipo nateseka na Hospital za Umma . Nilipomkamata tu , mwaka 1 mkwe ananiambia utashika vidonda hadi lini ; hakuna maisha huko mahospital ya gvt
Toka huko

Kwa kuwa tayari nilikuwa na elimu ilikuwa simple kunipa mkono na kupata life couching

Sio unataka kuji attach royal family Halaf kichwani umejaza shisha na betting… hakuna familia ya maana itakayokubali

You must have skills and be presentable plus confidence
 
Acha hizo mambo...
Ndoa ni kitu ingine.

Kuna jamaa yangu wameoa huko ila wanaishi kama kondoo...

Wanaume tunapenda uhuru...

Uhuru wako ni bora kuliko mafanikio lukuki
Then he is not smart

Ndoa ni kitu kingine ndio nini
Ingekuwa ni kitu kingine tusingeona divorce rate za masikini

Ndoa inahitaji maturity na sio kitu kingine
 
Mpaka kujiattach lazima nawewe uwe na kitu kinachoweza kukuweka hapo, kuna sehemu ukiji-position atajishtukia mwenyewe kama huna kitu cha ku contribute. Inasemekana mwamba katoa 143.9B kama mahari, sasa kama huna kitu huwezi fika high table.

We know, "fake it till you make it really" kuna vitu vinatokea accidentally tu, na mara nyingi demu/huyo mwanamke awe attracted nawewe. And not otherwise
Hizo pesa atakuwa katoa mtoto wa Ruto

Zimetoka mkono wa kulia na kuingizwa kushoto
 
Uzi hauna uhalisia huu, Uzi wa kitabuni, mpaka mtu ukutane na wanawake wa hivyo maana yake nawewe upo vizuri, sasa kijana alie malampaka huko au katavi, au hata dar na popote Tanzania, kama sio mtu wa class hiyo hao wanawake wa vigogo atakutana nao wapi??

Hao jamaa wote uliowataja hapo nao wapo vzuri sio mafala kama sisi.
 
Soma historia
 
Unaongea mambo theoretically!

Kama mtu niliyekosa kosa kuingia familia mbili za kishua (moja ya kishua, nyingine rich) Mwenyewe nilijipima nikaona sitoshi. Upendo wa kijana/msichana haukutoshi wewe kusavaivu kwenye familia yao.

Kuna mawili lazima uwe na cha kuweka mezani (angalia kijana wa kisukuma ana nini) Au usiwe na cha kuoffer usubiri upendo ukutendee miujiza, wakati huo ukubali “kujipoteza”.

Inategemea value zako kwenye maisha, as someone nisiyependa unnecessary pressure, unnecessary comparison, masimango na sipendi kunyamazishwa na kupangiwa it’s so hard to date for money.

This is harsh reality, i will date/marry within my standards, probably a well off family will come out of me.
 
🔥🔥🔥

HAKUNA UBISHI HAPA .

UNAPOOA DEMU ALIE CHINI KIMAISHA YAKO NA FAMILIA YAKO ANAKUWA SUBMISSIVE KWAKO NA ILI NDOA IWE ITULIE LAZIMA MMOJA AWE MASTER

SAASA NGOJA UJICHANGANYE UOE DEMU KWAO WANA HARRIER ALAFU ANA MAKEBO MAKUBWA NDIO UTAJUA HAUJUI😁😁
Mfumo dume

Submissive inakusaidia nini

Wanawake too submissive huleta umasikini

You need a smart woman who can challenge your decision

You need a smart woman who can guide you as well

You need a woman who can say no to your stupidity

You need to communicate na mwanamke wako na sio kumpa maagizo

Anahitaji kukuheshimu na sio kuwa submissive ,she is not your slave

Hii mifumo dume itawatesa
Generation imeshabadilika wakuu acheni ushamba
 
Upo sahihi na ndio maana nilisema elimu pekee haitoshi

You need networking na kuji attach ,
Ukiwa umesoma au any great skills jamii itakusikiliza

Kama mwanamke yupo vema kichwani familia bora na amekuelewa usisite
Ingia humo na explore your code

Nilikutana na dada wa kutoka familia ya maprofesa way back , hana tako wala hajui mambo ya kufinyia kwa ndani kama wala wahuni wa sasa

But kichwa kipo vema balaa , wakati nipo nateseka na Hospital za Umma . Nilipomkamata tu , mwaka 1 mkwe ananiambia utashika vidonda hadi lini ; hakuna maisha huko mahospital ya gvt
Toka huko

Kwa kuwa tayari nilikuwa na elimu ilikuwa simple kunipa mkono na kupata life couching

Sio unataka kuji attach royal family Halaf kichwani umejaza shisha na betting… hakuna familia ya maana itakayokubali

You must have skills and be presentable plus confidence
Umepiga penyewe...kijana anawaza berting,shisha,mibange halafu aje aopoe corporate lady from high profile family??never...atapata hawa kina mwajuma kanda mbili....hana passport ya kusafiria,NIDA yenyewe ana namba tu..hana skills..ana degrii laka amestack hajiendelezi kutafuta maarifa zaidi..hajawahi kutoka nje ya mkoa wake let alone nje ya nchi...huyu atajiattaxh wapi sasa zaidi ya hawa kina binti sikitu waliozalishwa watoto 2....
Hoja hapa ukitaka kutoboa na kujiattach Royal family pambana..pigana kupata maarifa..tambua nguvu zinazotawala mifumo ya dunia na chumi zake....nje ya hapo kijana utapaka rangi upepo.
 
Back
Top Bottom