Options bado ni nyingi, hawawezi kukosa wa kuji attach nao.Wote wakisema wajiattach kwenye royal family nani atabaki na hawa wa low profile
Options bado ni nyingi, hawawezi kukosa wa kuji attach nao.Wote wakisema wajiattach kwenye royal family nani atabaki na hawa wa low profile
Tumeona wanawake wengi wakitusua kwa njia hii, why not na sisi tusifollow a winning formula?🤗Akisema mwanamke ivo mtasema anajiuza Malaya ooh gold digger ila kwa mwanaume ni mafanikio ya baadaye
Pathetic
Mfumo dume
Submissive inakusaidia nini
Wanawake too submissive huleta umasikini
You need a smart woman who can challenge your decision
You need a smart woman who can guide you as well
You need a woman who can say no to your stupidity
You need to communicate na mwanamke wako na sio kumpa maagizo
Anahitaji kukuheshimu na sio kuwa submissive ,she is not your slave
Hii mifumo dume itawatesa
Generation imeshabadilika wakuu acheni usha
Wadanganye wenzio! 😅Vijana wenzangu mjitahidi sana kuyaelewa maisha.
Maisha ya duniani yana formula na hii formula ndio inawafanya baadhi kufanikiwa na kuwa mbele.
Ni muhimu pia wakati una date angalia familia na utulivu wa huyo mdada.
Kuna vijana watatu miaka ya hivi karibuni wameonesha maturity kubwa mno .
Kuna yule kijana alioa mtoto wa JK, alikuwa ni mkiristo na familia ilimwambia abadili dini wampe mtoto . Msela hakurudi nyuma na kwa sasa yupo na familia yake ananyonya mirija ya maisha na watoto wanasoma high class education and international baccalaureate ( IB).
Kuna yule kijana wa kiarusha, ameoa mtoto wa Mwinyi , nae akaambiwa kijana ingia kwenye Islam tukupe mtoto , kijana wetu amekupenda. Kijana hakuomba ushauri kwa yoyote…. Ameingia kwenye Uislam na now ananyonya mirija ya maisha na top connection na viongozi wote wa nchi…. Dini itakusaidia nini kwa mfano
Now tumeona kijana wa kisukuma ameweza penetrate kwenye royal family na ameshapata top government connection as we speak . Kijana hajaangalia Rangi , sura wala tako . Mtoto wa Ruto kichwani yupo vema sana and comes from prime family…. What a maturity kutoka kwa kijana wa kisukuma
Vijana wa kiume angalieni namna ya kuji attach kwenye maisha , education alone haitoshi ….connect your self na usirudi nyuma .
Date strategically, sio una date sababu mtu anajua kula koni….au kuifinyia sijui kwa ndani ….mambo ya ajabu kabisa
Watoto wa kiume kwa sasa ni dili , position yourself ….. Usiwe kijana wa hovyo unaeshinda kwenye SHISHA na POMBE
Kuna matajiri hapo bongo watoto zao wa kike wapo vema tu but hawajaolewa….. weka mitego kijana…. Nenda sehemu wanazokwenda … get connection and show discipline
Mafanikio hayatafutwi , yanategwa kama unavovua samaki vile
Shauri yenu
yupo mwana mmoja alisoma sheria , kataabika sana kitaaTumeona wanawake wengi wakitusua kwa njia hii, why not na sisi tusifollow a winning formula?🤗
Watu wanajua maana shule shikizi kweli? Satellite schools 🤣🤣🤣Yaani Ukioa Huko Kwa Kigezo Cha Kubadili Dini Ujue Wewe Ni Shule Shikizi
Ni kawaida yao 😂😂😂😂 Kwa asiyewajua baadhi ya wanaume labda atapata shida.Leo hii wadogo zangu wanafundishana kudanga......
😂Angeanza kusema umri sijui nini
Angepiga kinanda church na degree yake na angepata mlokole mwenzie na kujiaminisha kwenye vitu ambavo would never solve his povertness
Wabongo ni wagumu sana kuelewa. Ipo hivi mkuu, point ya kuchukua hapa ni kwamba sio kila mtu aanze kuvizia hao watoto wa vigogo. Katika level yoyote uliyopo lenga mwanamke ambae anakuja na valuable contribution kwenye maisha yakoUzi hauna uhalisia huu, Uzi wa kitabuni, mpaka mtu ukutane na wanawake wa hivyo maana yake nawewe upo vizuri, sasa kijana alie malampaka huko au katavi, au hata dar na popote Tanzania, kama sio mtu wa class hiyo hao wanawake wa vigogo atakutana nao wapi??
Hao jamaa wote uliowataja hapo nao wapo vzuri sio mafala kama sisi.
Kwa masharti yoyote Yale?Wabongo ni wagumu sana kuelewa. Ipo hivi mkuu, point ya kuchukua hapa ni kwamba sio kila mtu aanze kuvizia hao watoto wa vigogo. Katika level yoyote uliyopo lenga mwanamke ambae anakuja na valuable contribution kwenye maisha yako
All the bestUnaongea mambo theoretically!
Kama mtu niliyekosa kosa kuingia familia mbili za kishua (moja ya kishua, nyingine rich) Mwenyewe nilijipima nikaona sitoshi. Upendo wa kijana/msichana haukutoshi wewe kusavaivu kwenye familia yao.
Kuna mawili lazima uwe na cha kuweka mezani (angalia kijana wa kisukuma ana nini) Au usiwe na cha kuoffer usubiri upendo ukutendee miujiza, wakati huo ukubali “kujipoteza”.
Inategemea value zako kwenye maisha, as someone nisiyependa unnecessary pressure, unnecessary comparison, masimango na sipendi kunyamazishwa na kupangiwa it’s so hard to date for money.
This is harsh reality, i will date/marry within my standards, probably a well off family will come out of me.
Hakuna masharti yoyoteKwa masharti yoyote Yale?
Thank you! 🙏🏻All the best
Mafuta na Maji ya upako Mimi ya nini?. Mkuu Mimi sijakataa connection lakini connection ya kunipeleka kuzimu hata kama itanifanya niishi kifalme hapa duniani siihitaji. Nina macho yanayoona!Kwahiyo unaacha connection ya maisha ww unataka mafuta na maji ya upako.
Aliekuambia unaenda kuzimu NaniMafuta na Maji ya upako Mimi ya nini?. Mkuu Mimi sijakataa connection lakini connection ya kunipeleka kuzimu hata kama itanifanya niishi kifalme hapa duniani siihitaji. Nina macho yanayoona!
Hakuna kitu single motherMpaka umfikie huyo mtu wa familia ya royal maana yake hata ww haupo kinyonge, refer kwa huyo msukuma, CV haipo kinyonge.
Anyway, mm siwez kuwa na single mother ila nikipata anayejiweza ah fresh tuu najiweka hapo
C nakuwa nae ili kunyonya mrija wa fwedha tuuHakuna kitu single mother