Modern women want gender equality, until bills kicks in
Kwanini mkijipata mnabadilika?Modern women want gender equality, until bills kicks in
Kwa yale makombora! Sidhani🤣Hii hainihusu, sasa nina miaka 44.
Nilizaliwa mwaka wa 82. Piga mahesabu yako kwa utulivu.Kwa yake makombora! Sidhani🤣
Yale mashambulio ya kigen zero umetoa wapi🤣Nilizaliwa mwaka wa 82. Piga mahesabu yako kwa utulivu.
Yale makombora niliyoyatengeneza tangu kitambo. Nimeamua kuyarusha maana yanaelekea kuexpire. Ujue yale si ya GenZ, ni ya baada tu ya azimio la Arusha.Yake mashambulio ya kigen zero umetoa wapi🤣
Aanh mbona yanakuja kama ballistic missiles 🤔Yale makombora niliyoyatengeneza tangu kitambo. Nimeamua kuyarusha maana yanaelekea kuexpire. Ujue yale si ya GenZ, ni ya baada tu ya azimio la Arusha.
Umenena! Ebwana zile ni ICBM, nilizitoa kwa warusi kipindi Cha Cold War.Aanh mbona yanakuja kama ballistic missiles 🤔
Basi umeweza🤣Umenena! Ebwana zile ni ICBM, nilizitoa kwa warusi kipindi Cha Cold War.
Yeah 😂.Nasi umeweza🤣