Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🙌 Kwahiyo shida ni wazazi na sio vijana??Haya mambo yalikuwepo na yataendelea kuwepo. Ni jukumu la kila mmoja kuchukua hatua ya kuona anasaidia vipi vijana kutojiingiza huko. Kabla hatujamlaumu kijana ni vema tukamlaumu Baba Junior na Mama Junior kwa malezi yao ya kishenzi. Nilipokuwa darasa la pili nilijaribu kuvuta sigara tena isiyo halisi ile ya makaratasi nikaonwa na baba. Kipigo nilichopata ni cha maisha yangu yote na sikuwahi kuwaza hata huo ujinga. Siku hizi mama anavaa anavaa kichupi mbele ya mtoto wake wa kiume eti ni vazi la kuogelea.
Vijana wanapitia wakati mgumu stress za kupoteza muda darasani mwisho ajira hakuna gharama za maisha kupaa uwezo wakusevu pesa haupo wew waache tu vijana waombee tu badala ya kuwalaumuHabarini wanajf wenzangu hope mko gud kabisa.
Direct niende kwenye topic imekua kama culture kwa vijana wanaomaliza na waliomaliza vyuo vikuu na vya kati kwa asilimia kubwa unakuta ni walevi unywaji wa pombe uliopitiliza, wanavuta bangi,sigara,mirungi... nk
Mimi nashangaa sana halafu unakuta wanacomplain kwamba hamna ajira ili hali wao ni walevi,wavivu wanashindia madawa ya kulevya hususani bangi na kubet.
Nini hasa kinachowafanya kuwa wajinga namna hiyo au uko vyuoni kuna somo la ulevi??
Cc Intelligent businessman Edo kissy Fabian Vitus Usherman
Vijana wa sikuizi wanajifanya wanajua Kila kitu, ukiwashauri wanakuona mshamba.. ni kuwaacha tuMbona miguno !!madame
Shida ni wewe mwenye ubishi wa kijinga.🙌 Kwahiyo shida ni wazazi na sio vijana??
mbona hujawahi niuliza unachojiuliza live 😔😂😂Hizo kucha huwa najiuliza sana kila nikokutana na wadada wamezibandika tena mkono wa kushoto
ndioKwahiyo kuvuta bangi ni starehe siyo??
Kwasababu wewe huwekagi hizombona hujawahi niuliza unachojiuliza live 😔😂😂
😂😂😂😂kiruuuu haunikaguagiKwasababu wewe huwekagi hizo
SIO WEWE TU HATA WAZIRI MWENYE DHAMANA YA AJIRA NAE ANASHANGAA VIJANA KUKOSA AJIRA!Mimi nashangaa sana
Vizuri sana mkuuNafikiri ni upeo mdogo wa kufikiri kuwa "inaondoa mawazo " kumbe sivyo, ni kujiharibu. Nawashauri tu wafanye kazi yoyote ile ili mradi mkono uende kinywani. Kuna graduate nilikutana nae anaendesha bajaji. Vijana acheni kujiangusha, amkeni, ondoa fikra "kuajiriwa" akilini, weka neno "kujiajiri".