Vijana mliomaliza vyuo kwanini mnavuta bangi?

Vijana mliomaliza vyuo kwanini mnavuta bangi?

Alaf Kush huwa inakua tamu mwishoni unashangaa umeungua mdomo na hivi vidole 🤏🏿
Kuna Mkoa nasikia wao zao Lao la biashara ni hilo tu Ila DCEA wamewafuata huko huko kwenda kuwazuia wasilime
 
Mtoa mada ninaona wala ganja na gambe wamekujia juu kinoma.

Yaani unakula za uso.

Hiki ni kiashiria cha hatari kwa vijana wetu. Mungu aingilie tu kati.

Kubeti, gambe na ganja ndiyo ujanja wa wasomi kwa sasa!
 
Elimu ya Kikoloni ni ya kibaguzi sana, Toka zamani ikitolewa Ililenga, kuwafanya Waliopata kujiona ni ''Special People''

Lifestyle ya mtu Inaathirika pakubwa au Kupotea kabisa kisa tu ni Alumni wa chuo fulani. Pathetic!

Ni wazi Ukosefu wa ajira ni mkubwa, lakini Vijana wanajitahidi kadri ya Uwezo wao kupata ridhiki halali, ingawa Sera za Serikali ni mbovu kuwainua.

Bangi inatumiwa na makundi ya vipato tofauti katika jamii, Wakiwemo Maprof zao huko vyuoni.

Maisha ni Betting business, tatizo ni pale ikigeuka Uraibu, hata hao unawaona ni Productive usishangie ukiwakuta Casino wakiteketeza mabilioni kwenye betting.
 
Kweli mkuu,
 
Habarini wanajf wenzangu hope mko gud kabisa.

Direct niende kwenye topic imekua kama culture kwa vijana wanaomaliza na waliomaliza vyuo vikuu na vya kati kwa asilimia kubwa unakuta ni walevi unywaji wa pombe uliopitiliza, wanavuta bangi,sigara,mirungi... nk

Mimi nashangaa sana halafu unakuta wanacomplain kwamba hamna ajira ili hali wao ni walevi,wavivu wanashindia madawa ya kulevya hususani bangi na kubet.

Nini hasa kinachowafanya kuwa wajinga namna hiyo au uko vyuoni kuna somo la ulevi??

Cc Intelligent businessman Edo kissy Fabian Vitus Usherman
Mkuu mimi sio mwanachuo, maana hata shule sija wahi enda aisee.
Kuhusu kula bange, sija wahi toka nizaliwe.
.
Mi Nauza shada tu, shahidi fundi bishoo 😆😃
 
Haya mambo yalikuwepo na yataendelea kuwepo. Ni jukumu la kila mmoja kuchukua hatua ya kuona anasaidia vipi vijana kutojiingiza huko. Kabla hatujamlaumu kijana ni vema tukamlaumu Baba Junior na Mama Junior kwa malezi yao ya kishenzi. Nilipokuwa darasa la pili nilijaribu kuvuta sigara tena isiyo halisi ile ya makaratasi nikaonwa na baba. Kipigo nilichopata ni cha maisha yangu yote na sikuwahi kuwaza hata huo ujinga. Siku hizi mama anavaa anavaa kichupi mbele ya mtoto wake wa kiume eti ni vazi la kuogelea.
Mkuu; Hapo ndo patamu. Hivi unathubutuje kujipa jukumu la kumkanya kijana asijiingize huko? Unapenda utukanwe na vijana mchana kweupe? e.g hebu soma comment #2,3,5 n.k.
Halafu ingefaa ulione hili tatizo kwa mapana yake. Halipo specific kwenye bangi, madawa ya kulevya au vijana tuu. Ni multi-sectoral issue. Wazee, ambao ndo ilitegemewa wawe ndo watoa miongozo na wadhibiti wa Nidhamu cku hizi wamejivua jukumu hilo na wanasema "Acha wafu wazike wafu wao...... Haliwahusu" Serikali ambayo ndo # 1 kuhakikisha mustakabali wa Ustawi wa Jamii ndani ya nchi, yenyewe imejitoa ufahamu na kuachia mambo yaende kama yanavyoenda - Hakuna uwajibikaji hata ule wa saizi ya punje ya haradali.
Wananchi kwa ujumla wao (watoto, watu wazima na wazee) wanakula vitu fake mitaani hadi mafuta ya Transfoma, wanapata madawa substandard / fake huko hospitali, pharmacies vipimo fake maabara n.k. Serikali imejikita kwenye kukusanya(Maokoto) bila kumjali huyo anayetozwa, Uwepo wa nishati e.g. umeme ili kuwezesha utendaji n.k.n.k. ... yupo mwandishi mmoja alishindwa kuendelea kufikiri zaidi akaishia kusema tazama kila kitu "ni Ubatili mtupu...." Biblia, Mhu. 1:2.
 
Back
Top Bottom