Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,641
- 6,694
Hakika yule aliyewahi kusema "Madara yanalevya, madaraka makubwa yanalevya zaidi" hakukosea
Ukuu wa wilaya unahitaji mtu mbunifu, ukirizika na nafasi uliyoteuliwa utaishia kuishangaza jamii na kuzalilisha vijana wengine wengi hata kupelekea wasiaminiwe tena.
Kiongozi kijana, umepewa wilaya nenda katende haki ukiwatumikia wananchi.
Aliyoyafanya Sabaya mkayaepuke kabisa maana ni aibu kwa mwakirishi wa rais kuwa jambazi.