Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Mtaalamu mwenzangu wa pure umeongea vitu vya muhimu jibu kwa wahusika achana na wanaoponda maana hao hawasomi tena...Sasa hivi vijana wengi wanaambia Pure Mathematics ni somo gumu sana wakati sisi tulikua tunaambiwa ni somo mfu kwa maana halibadiliki kanuni za Vector, logic sijui calculus ni zile zile kwa kupata Banda ilikua rahisi kama utaendelea kuzipitia Mara kwa Mara...Ukisoma na kufaulu masomo magumu yanakujengea confidence asikudanganye mtu hata siku Moja...