Vijana mliopo A-level: Technique rahisi nilizotumia kupiga Division One ya 3 form six bila kukesha darasani

Mtaalamu mwenzangu wa pure umeongea vitu vya muhimu jibu kwa wahusika achana na wanaoponda maana hao hawasomi tena...Sasa hivi vijana wengi wanaambia Pure Mathematics ni somo gumu sana wakati sisi tulikua tunaambiwa ni somo mfu kwa maana halibadiliki kanuni za Vector, logic sijui calculus ni zile zile kwa kupata Banda ilikua rahisi kama utaendelea kuzipitia Mara kwa Mara...Ukisoma na kufaulu masomo magumu yanakujengea confidence asikudanganye mtu hata siku Moja...
 
Mkuu umeongea point tupu..hongera..huu ni ushauri mzuri kwa vijana na all academicians hao walio drop shule wakatengeneza maisha mazuri waje na ushauri wao sio kuponda walio fanikiwa katika taaluma zao..kingine naomba next time njoo na mbinu za kupiga G.P.A kali vyuoni.
 
Duuuuu jamaa inaonyesha kichwa sana. Itakua katusua sana maishani
Maisha ya kitaa yamempa changamoto kiasi but na hakika atakuwa vizuri kiasi chake.....

But kwa ufaulu wake ilitakiwa abaki pale COET amwage shule kwa vijana wenzake huwa najiuliza why hadi sasa yupo kitaa though naskia pale kituvoni hakuna walimu wa kutosha.....
 

Inaonekana ww bado upo chuoni karibu sana kwenye maisha ya kitaa. mwaka niliomaliza mm kuna jamaa yangu alipiga one ya 4 PCB kwa sasa ni daktari yupo Nyasa huko. Mimi nilijipigia three ya 14 kwa sasa hua namualika kwenye semina jamaa anakujaga amechoka balaa na kila mara ananipigiaga simu kuniulizia kama kuna training nimchomekee angalau apunguze ukali wa maisha
 
Upo sahihi kabisa
 
dah nilikua nakuonaga tu coet mle kumbe mnyama unakamatia gpa kali ivyo! ila nini, mpe hi Mtumwa
 

sijaponda wasomi nimekuponda wewe mpuuzi uliyeshindwa kutumia ma AAA yako kujikomboa na ukaishia kuajiriwa na serikali kwa TGSE..

mwisho wa siku umetapeliwa na dogo ontario.. huwezi ku reason pamoja na ma AAA yako yote..

mtu aliyefaulu kama wewe kushindwa kujitambua mpaka unafikiria kukopa bank milion 5 na ukimbie nazo bila kulipa ni mpuuzi..

Ushauri: Mimi mwajiriwa Serikalini, nataka nichukue mkopo (kwa kutumia ajira yangu) kisha niache kazi

wenzako wajanja waliopata hayo ma A yako walijua ku reason .. wakaachana na coet wakaenda udbs na Baf mzumbe.. wakamaliza wakaingia big 4 proffessional firms... then wakaingia kwenye ma bank vitengo nyeti wanakula salary hela zaidi ya ulizotaka kukopa na kuzulumu bank..

wengine wakalamba ma scholarship ya ukweli na kusepa bongo na kazi wanafanya majuu..

wewe ni mpuuzi ndio maana unapata tabu sana... jifunze kuusoma mtaaaa
 
nami nashindwa kuelewa uhusiano wa jf na ufyatu, mara kadhaa najishtukia nikiandikacho jf na uhalisia wa maisha na imani yangu halisi. mara kadhaa mimi huifananisha jf na msitu mnene ambao mtu anaweza kuthubutu kutembea uchi au kujisaidia kwa uhuru bila kuhofu kuwa kuna mtu anamwona. na mara kadhaa huifananisha na kiza/giza la usiku wa manane ambapo wanga huwanga kwa uhuru.
usiiamini jf, kuna siku nilishtuka kugundua kuwa humu kuna jaji ambaye amestaafu mwaka huu kuwa mara kadhaa tumebishania mambo flani ilhali nilikuwa namchukulia kama age mate wangu kumbe kaninipiga gap la miaka karibu 40???
nilishtuka na kujaribuwa kuwa na adabu kiasi[emoji23]
ni kweli usemavyo, wanaojigamba mara nyingi ni low life, na wengine wasiokuwa na makuu wako juu ki life.
 
Nimemkumbuka Mbunge wa Geita Vijijini Joseph "Msukuma"
 
Umeongea kweli mkuu kuna watu humu wana mkwanja ila ila ukifuatilia ID zao sio watu wa ku comment sana wala ku like wapo tu kama wasomaji nimebahatika kukutana nao baadhi maisha wameyapatia kwelikweli.....

Ila kwa huyu Engineer bado hajazikamatia kiivyo bado ni junior kwa maisha halisi labda tu kwa sasa awe amezikamatia .....
 
Kwa hili utakuwa umemchoma kwa kiasi fulani wajanja wengi walienda kusoma course za biashara nje ya nchi tena vyuo vikubwa kubwa tu......

Labda bwana Engineer hapa aliona kusoma UDSM ndio atakuwa ameyamaliza maisha but all in all huwezi mlaumu labda ana malengo yake binafsi ila kwa performance yake atakuwa anakula pesa nzuri......
 
Muulizeni huyo jamaa na mi AAA yake wasio soma wangapi wanamzidi asituaminishe maisha ni kusoma tu..
 
Watu wanaponda tu wakati mshikaji yuko njema! Hongera sana kwake!

Kufaulu ni kile unachokumbuka mkuu wala usijilaumu sana kikubwa mtaa unaumaster!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…