Vijana mliopo A-level: Technique rahisi nilizotumia kupiga Division One ya 3 form six bila kukesha darasani

Ulitaka aendeshe gari gani??? Huko China watu wamesoma na wanaendesha baiskeli
 
Hapa kwenye kuna kwa ukweli fulani hata nami nilipitia hilo la overthinking na depression baada ya kumaliza chuo kutokana na kuwaza sana maisha na kulinganisha na matokeo yangu ya huko shuleni.

Ila now nna mtazamo positive sana.
 
Narusha jiwe gizani.
Mtoa uzi ni aidha Pacid masawe (Old Moshi ) au Gwamaka Njobelo (Mzumbe sec) Hawa ndo besties kwenye Chemistry.
Thou mligonga 3 zenu
 
Sasa mkuu ulikuwa wapi kutoboa siri mapema mpaka noe too late wadogo zako tulokuw na ham na huo u to tunakuwa na ABC?
 
Aisee maisha ya bongo bana, unapiga 1 unakuja kusukuma spacio, watu wa 3 na wasio soma wana range na discovery 7[emoji2]
Hahaaa huo ndio ukweli ambao wengi hawataki kuuamini ila duniani kote ndo ipo hivyo.
 
Hongera kwa kufaulu mitihani. Ila kuna tofauti ya kufaulu mtihani na kuelewa somo husika. Unaweza kukuta mwenye div 2 au 3 akawa nauelewa mpana sana wa mambo kuliko aliyefaulu kwa daraja la kwanza.

Lengo kubwa la elimu ni kukusaidia uwe na uwezo wa kukitumia unachosoma shule kwenye maisha ya mtaani. Ndio maana kuna A za shule na kuna A za kwenye maisha.
 
Kwa elimu ya Tz na unachokizungumza wewe ni vitu viwili tafaut
 
Usisumbuane na haters mkuu........hongera sana
 
Desa siyo mchezo
 
Mi AAA mingi halafu huna maadili wala hela.. Hizo akili za kukariri sio za maisha....Endelea kupanga mikakati ya kuiba mil 5 bank
 
Narusha jiwe gizani.
Mtoa uzi ni aidha Pacid masawe (Old Moshi ) au Gwamaka Njobelo (Mzumbe sec) Hawa ndo besties kwenye Chemistry.
Thou mligonga 3 zenu
Njobelo nilimtangulia darasa moja, dogo alikuwa anakesha kusoma mpaka asubuhi akifika parade anasinzia macho mekunduuu. Labda huyo mwngne lkn Gwamaka hapana.

Hivi kwa sasa yupo wapi huyu dogo?
 
Njobelo nilimtangulia darasa moja, dogo alikuwa anakesha kusoma mpaka asubuhi akifika parade anasinzia macho mekunduuu. Labda huyo mwngne lkn Gwamaka hapana.

Hivi kwa sasa yupo wapi huyu dogo?
Placid na Gwamaka wote wapo UD.
Thou Gwamaka ashaua tayari
 
Ok, amepata chaka la maana au bado analia lia tu?
He's low-key man so ni ngumu kujua.
Ila kipindi tuko nye Mz Sospeter Muhongo alishamuahidi kitengo nyeti kufanya nae kazi.
So don't know more mkuu
 
Halafu wewe sio mtoto wa Katwale kweli??

Sio Samuel Katwale kweli??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…