Mtoto mdogo hawezi kuwa chuo, utoto unaishia form four.Hili tukio ni la kikatili. Cha muhimu ili kuepusha haya mambo watu hasa wamasai waache mila za kuchumbia mabinti wadogo ambao bado ni wanafunzi. Kwa uzoefu wangu wa mjini ninaweza sema binti alimbadilikia jamaa kwa sababu kwenye profile yake zinaonyesha kashakuwa dada wa mjini. Mwanamke ambaye bado ana malengo yake binafsi hasa elimu ni kumuacha amalize kwanza harakati zake.
Naona unavyopambana kukwepa hoja yangu. Kimsingi jamaa alibembeleza. Mwanamke hakubadilikii overnight au ghafla.Hili tukio ni la kikatili. Cha muhimu ili kuepusha haya mambo watu hasa wamasai waache mila za kuchumbia mabinti wadogo ambao bado ni wanafunzi. Kwa uzoefu wangu wa mjini ninaweza sema binti alimbadilikia jamaa kwa sababu kwenye profile yake zinaonyesha kashakuwa dada wa mjini. Mwanamke ambaye bado ana malengo yake binafsi hasa elimu ni kumuacha amalize kwanza harakati zake.
Wewe feminist wa kiume sijasoma comment yako yote kwa sababu najua umeandika uharo. Kazi ya mafeminist ni kushambulia wanaume na kuhakikisha hawajiamini.. wewe pia ni feminist kwa jinsi unavyoandika nyuzi za kushambulia wanaume wenzako. Acha ufeminist jomba. Heshimu maamuzi ya kila mtu ili mradi havunji sheria.Naona unavyopambana kukwepa hoja yangu. Kimsingi jamaa alibembeleza. Mwanamke hakubadilikii overnight au ghafla.
Kuna ishara atakupa ukizipuuza matokeo ndio haya sasa kuchezewa akili.
Unakutana na binti pisikali. Umemsalimia kajibu umeomba namba kakupa fresh, kama unataka mahusiano endelevu then soma mchezo na akili yake kwa makini.
Umemuomba muonane anaanza kukuonyesha kuwa hana utayari unless ubembeleze au umfanyie vitu fulani fulani kwanza.
Ukiona tu ameanza chenga za kitoto, hapo hapo ndio muda wa kuwithdraw na kuachana nae.
Ukiendelea endelea at your own risk. Utaanza kumpa vitu atakuonyesha kuwa ameanza kuelewa utajaa mazima,ila mwenzako kwenye komwe lake anajua utampatia zaidi, so huko mbeleni mkiendelea jua kuna wenzako watakuja na atakujengea mazingira ya kushindana nao na kwamba kama wewe utaona gemu ni zito then utajijua yeye hana shida na hisia zako anajali anachopewa na wapinzani wako.
Hiyo ndio hatua aliyofikia huyu bwana Matunda Shambakubwa baada ya kubembeleza penzi muda mrefu na kuweka pete akiamini amefanya ulinzi kumbe haya matoto ya kike ya kizazi hiki kitu yanaogopa ni kunyimwa hela tu, ila hayaogopi ndoa, uchumba, mume wala chochote kile.
Sasa jamaa anaanza kulipia hasara ya kuwa simp.
Ungezaliwa mwanamke ungefaa sana kwenye kupigania haki za kina mama. Mwanaume mwenzako kaamua mwenyewe kutumia jasho lake kwa mwanamke wake wewe roho inakuuma unakuja kuandika nyuzi za kumshambulia. Ulitaka wewe ndo uwe unahongwa? Punguza ufeminist.Mimi nilichopotosha ni kipi na ni wapi?🤔
Unaweka post ambayo imesambaa na ipo katika page yake kisha ndio evidence kuwa napotosha nikueleweje we jamaa au ulikuwa unataka kusemaje?
Wewe ndio unaniona feminist ila kwa wanaonijua vema wanajua misimamo yangu.Wewe feminist wa kiume sijasoma comment yako yote kwa sababu najua umeandika uharo. Kazi ya mafeminist ni kushambulia wanaume na kuhakikisha hawajiamini.. wewe pia ni feminist kwa jinsi unavyoandika nyuzi za kushambulia wanaume wenzako. Acha ufeminist jomba. Heshimu maamuzi ya kila mtu ili mradi havunji sheria.
Sasa sijui umeandika nini hapa maana unaongea mafuta ya taa huku tunajadili soda.Ungezaliwa mwanamke ungefaa sana kwenye kupigania haki za kina mama. Mwanaume mwenzako kaamua mwenyewe kutumia jasho lake kwa mwanamke wake wewe roho inakuuma unakuja kuandika nyuzi za kumshambulia. Ulitaka wewe ndo uwe unahongwa? Punguza ufeminist.
Wewe kwanini uumie kwa mtu kutumia pesa zake? Kama wewe ni fukara mwenye smartphone tulia acha kupiga makelele. Ninachopinga ni wewe kufungua nyuzi kusimanga wanaume wenzako.Wewe ndio unaniona feminist ila kwa wanaonijua vema wanajua misimamo yangu.
On the other hand wewe unaonekana unapenda kuwa Simp na ipo siku yatakukuta. Tumia tu hizo hela unazosema unazo but usijaribu kunizuia kuzungumzia kitu ambacho kipo wazi na kina madhara.
By the way, kama unaona mimi kuandika na kuponda masimp kwako ni tatizo sabbau naingilia maisha ya watu,then why don't you take your own advise uache kuingilia maisha ya ambao tunachukia kusimp.
Why unalaumu kitu ambacho na wewe unafanya ila kwenye eneo tofauti?🤔
Wewe una tofauti gani na mafeminist wanaowasakama wanaume? Huoni unachokifanya hakika tofauti na wao?Sasa sijui umeandika nini hapa maana unaongea mafuta ya taa huku tunajadili soda.
Sasa hapo kwenye maandiko yangu ni wapi napigania za akina mama au wapi nimedeclare naongelea wakina mama hapa?
Ni wazi haujui kusoma vema na kuelewa mtu ana aandika kitu unakalia kubwatuka na kuongea vitu ambayo hata haviendani na vikao.
Unajua hata feminism nini kwanza wewe maana hata sikuelewagi na hii confusion yako as if unamix mafail.
Kwanini na wewe uumie mimi kufungua nyuzi kuongea maoni yangu wewe hao wanaotumia hela zao walikufuata uje kuwaongelea au ndio kiherehere cha kutaka kukwepa ukweli unaokuhusu?Wewe kwanini uumie kwa mtu kutumia pesa zake? Kama wewe ni fukara mwenye smartphone tulia acha kupiga makelele. Ninachopinga ni wewe kufungua nyuzi kusimanga wanaume wenzako.
Cha muhimu ujumbe umekufikia na umeelewa ninachokimaanisha. Acha kushambulia wanaume wenzio. Unachokifanya ni upuuzi.Nikuulize tena,unajua maana ya feminist na feminism?
Nadhani wewe ndie ujumbe umekufikia kwasababu unapanic bila sababu na wakija wajumbe watakucheka kwa hii kitu unafanya hapa.Cha muhimu ujumbe umekufikia na umeelewa ninachokimaanisha. Acha kushambulia wanaume wenzio. Unachokifanya ni upuuzi.
Wengi wanachokosea ni ku negotiate genuine desires na ku ignore red flags, wakishindwa kujua genuine desire is never negotiated.Naona unavyopambana kukwepa hoja yangu. Kimsingi jamaa alibembeleza. Mwanamke hakubadilikii overnight au ghafla.
Kuna ishara atakupa ukizipuuza matokeo ndio haya sasa kuchezewa akili.
Unakutana na binti pisikali. Umemsalimia kajibu umeomba namba kakupa fresh, kama unataka mahusiano endelevu then soma mchezo na akili yake kwa makini.
Umemuomba muonane anaanza kukuonyesha kuwa hana utayari unless ubembeleze au umfanyie vitu fulani fulani kwanza.
Ukiona tu ameanza chenga za kitoto, hapo hapo ndio muda wa kuwithdraw na kuachana nae.
Ukiendelea endelea at your own risk. Utaanza kumpa vitu atakuonyesha kuwa ameanza kuelewa utajaa mazima,ila mwenzako kwenye komwe lake anajua utampatia zaidi, so huko mbeleni mkiendelea jua kuna wenzako watakuja na atakujengea mazingira ya kushindana nao na kwamba kama wewe utaona gemu ni zito then utajijua yeye hana shida na hisia zako anajali anachopewa na wapinzani wako.
Hiyo ndio hatua aliyofikia huyu bwana Matunda Shambakubwa baada ya kubembeleza penzi muda mrefu na kuweka pete akiamini amefanya ulinzi kumbe haya matoto ya kike ya kizazi hiki kitu yanaogopa ni kunyimwa hela tu, ila hayaogopi ndoa, uchumba, mume wala chochote kile.
Sasa jamaa anaanza kulipia hasara ya kuwa simp.
Hakuna ujumbe umenipa zaidi ya kupanic na kujiexpose kuwa wewe ni simp mwanaume dhaifu ambaye bila kuhonga au kutoa hela unaamini wanawake hawatakuelewa hoja zako.Cha muhimu ujumbe umekufikia na umeelewa ninachokimaanisha. Acha kushambulia wanaume wenzio. Unachokifanya ni upuuzi.