Vijana m'meona tukio la binti wa UDSM kupigwa na mchumba wake?

True, na ndipo shida inaanzia hapo.
Wanawake na Feminists sio maadui ila weak men have always have been the enemy.

Weak men wana simp na kuwatetea mabit€# wakidhani watamegewa keki ila mwisho wa siku nyoka harambi unga, wanaambulia patupu.

Hawawezi hata ku control emotions zao, ndio hawa wanapiga wanawake au wanaishia kujinyonga.
 
Watu bhanaa, kuna watu dhaifu sana hii dunia.

Ila pilisi nao hilo jina ndio jina rasmi la mtuhumiwa au ni jina lake la kibiashara? Na kwanini watumie jina lake la kibiashara?

Anyway
 
Tatizo vijana wabishi saana na hawana akili na ni wapumbav na wajinga.
 
Ni sahihi inaelekea jamaa alikuwa anamfumania ndio maana alienda kumsemea kwao na demu akala kipigo ila hakukoma.
Kashaonja utamu wa hela za wajuba wa Dar huyo mmasai mwenzake wa moro akaona wa kazi gani
 
Kupiga mwanamke au mtoto miaka hii ni kujitafutia balaa.

Ila huyo mwanachuo nae kiande miaka yote hiyo anapigwa yupo kimya tu. Ukidungwa toa taarifa mara ya pili inaweza kua kifo.
 
wapigwe tu 😁
 
Dozi ziendelee kuwaokoa ma home boys
 
Ndiyo maana nasema, kwa sasa kuoa msichana chini ya miaka 30 ni kujiletea janga na ndoa hiyo kudumu ni majariwa na mwanaume lazima uwe umemaliza ujana (35 years). Hapo mpaka kifo kiwatenganishe
 
Ana umbo zuri
 
Hapo nilipobold umesema ukweli wa kilichonitokea nimegundua hapa naforce penzi nimempiga chini mapema kabla mambo hayajawa mengi
 
True mzee,hawa jamaa ndio source ya imbalances kwenye jamii.
 
Watu bhanaa, kuna watu dhaifu sana hii dunia.

Ila pilisi nao hilo jina ndio jina rasmi la mtuhumiwa au ni jina lake la kibiashara? Na kwanini watumie jina lake la kibiashara?

Anyway
Hata mimi nimejiuliza maana jina limekaa kimzaha fulani hivi. Ila taarifa tutapata na tutaelewa zaidi.
 
Tatizo vijana wabishi saana na hawana akili na ni wapumbav na wajinga.
Kijana amechakuwa kuwa Simp anakazana kujifanya anatetea maslahi ya wanaume kumbe hauji anajidhalilisha tu. Anatetea maslahi ya ujinga kwa kutaka wanaume wenzake wabakie kuwa wajinga kama yeye.
 
Kwa jamii ya wafugaji hasa wamasai, binti anahitaji msaada. Wasichana wengi wa kimasai halisi wakitoka wanaona kama wamfunguliwa kwenye vifungo.
 
Ni sahihi inaelekea jamaa alikuwa anamfumania ndio maana alienda kumsemea kwao na demu akala kipigo ila hakukoma.
Kashaonja utamu wa hela za wajuba wa Dar huyo mmasai mwenzake wa moro akaona wa kazi gani
Yeah kabisa. Hii situation ya hivi am sure wanaume wengi wamekutana nayo.

Unapendana na binti halafu mnakuwa deep wewe unajua amekuelewa kumbe kwake ni moment tu ile then balaa ni siku amekutana na njemba mpya huko nje zikampa vitu adimu anaanza sasa kukupangia utaratibu mpya,badala ya kujiongeza na kukwepa maumivu anaamua kujifanya anataka mashindano na wahuni wa mjini.

Matokeo ndio haya sasa mwanamke anacheza na akili yake. Hapo usikute ashaweka mitego mingi sana na binti alikamatwa na ikadhihirika kuwa anampiga jamaa matukio lakini jamaa badala ya kusepa akawa anakomaa kuforce penzi na ndipo hapo sasa balaa likaanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…