Vijana m'meona tukio la binti wa UDSM kupigwa na mchumba wake?

Siku hizi chuo mbona ni vitoto vidogo, unaweza hisi ni form 4 au six..sasa kwenye picha mbona mizigo ya haja, miili kama wake zetu kabisa.
Mtoa mada unahika hizo picha waliogeuka ndo muhusika yupo humo??
 
Unaona kabisa binti alichumbiwa bila ridhaa yake
Mnapendaga sana kuforce mapenzi.
Mtu anachumbiwaje bila ridhaa labda kama umechanganya na kuolewa bila ridhaa. Huyu alichumbiwa akiwa anajitambua kabisa si umeona uchumba ni wa muda gani meaning ni miaka 3 imepita tokea kuchumbiwa na kubadili maamuzi.

Inaonekana kulikuwa na makubaliano kuwa akasome then arejee kwaajiri ya ndoa na jamaa alikuwa anasubiria mke amalize shule. Ila binti baada ya kwenda chuo ndio mtazamo wa life ukachange akaanza kuona life ya usista duu na kujirusha.
 
Ndiyo maana nasema, kwa sasa kuoa msichana chini ya miaka 30 ni kujiletea janga na ndoa hiyo kudumu ni majariwa na mwanaume lazima uwe umemaliza ujana (35 years). Hapo mpaka kifo kiwatenganishe
Wapo ambao hawajatulizwa na umri na ni wengi tu. Sampuli za akina kajala.
 
Nazungumzia ndoa ya kwanza yaani Marriage siyo remarriage
Oh Yes. You have a point. Ila still kuna shida ya umri na uzazi hapo hii kitu ni changamoto mpya kwenye jamii especially wakazi wa mijini.
 
Anasura mbaya kama predator mapenzi ni ukipofu
 
Apambanee na hali yakeeee

Mshahara wa dhambiiii

Mauti

Ashukuruu kajeruhiwaaaa
M


Mnajadiliana mambo ya wazinzii hamna mda wa kufanyaa
 
Huyo jamaa ni fala sana. Enzi zangu nasoma kulikuwa na demu mzuri sana pale ARU. Kuna jamaa wa Tra alikuwa anaishi naye kinyumba na alikuwa anampa mimba back to back. Architecture aliimaliza baada ya 7 years. Huyu kachumbia ilibidi ahakikishe demu anaanza chuo na mimba na akizaa anampa nyingine mpaka anamaliza.
 
Kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ