Vijana m'meona tukio la binti wa UDSM kupigwa na mchumba wake?

Huyo jamaa ni mjinga sana, unapiga mtu kisa kakukataa, na nyinyi mnaosupport, naona watoto inaonekana.Watu wanakataliwa ndoa ina miaka 10- wanagawana mali, watoto wanatenganishwa mtu anarudi back square zero sembuse hao uchumba sugu.
Uchumba miaka 3 - kuna -uchumba hapo...??
 
Kama humpendi mtu usipende na hela yake pia period. Unajua kabisa humpendi unakubali kuchumbiwa naye na anatoa fedha unaona na unakubali utafunga nae ndoal, anatimiza kila kitu unafika wakati wa wewe kutimiza sehemu yako unaleta shakara kwani wenzako hela wanachuma??

Violence sio jambo ambalo binadamU yoyote anaweza kulishabikia lakini tujitahidi kuepuka hiyo kwa kuwa wawazi na kuheshimu wengine pia...
 
Wewe akili yako ilivyo mbovu ulitegemea huyo mwanamke asinge-switch narrative ili apate huruma ya jamii?
 

Matumizi mabaya ya neno simp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…