Mr Excel
JF-Expert Member
- Jul 31, 2021
- 526
- 1,675
Vijana mnaotoka vyuoni kuweni makini.
Unaomba kazi unaenda kwenye usaili unashushiwa mvua ya maswali kama vile upo mahakamani.
Unaanza kazi bosi wako anaua ndoto zako na kipaji chako kupitia mshahara mnono, posho, vyeti vya utendaji bora wa mwaka na hata kukupa vyeo vingine fake.
Mwisho wa siku unajitoa kindakindaki na unazeeka huna kitu na kazi unafukuzwa wakati wowote, Haswa wale mnaoenda private sectors, bosi wengi ni dream killers kwa vijana wengi wenye uweledi na maarifa mapana.
USHAURI:
Kutambua dream killers na dream mentors ni lazima uwe na dira na malengo makhususi, nje ya Hapo utakufa kitaaluma na ujuzi pia.
Dream homicide,professional suicide. Usisahau kumfanyia usaili bosi wako.