Vijana mnaotoka Vyuoni kuweni makini

Vijana mnaotoka Vyuoni kuweni makini

Tuna mindset za tofauti tofauti sana. Halafu kwanza nimeshindwa ku grasp hasa mleta mada ana concept gani kusema kwamba mshahara mnono na kupandishwa vyeo ni dream killers.

Labda anaweza kuja kujibu hapa. Kwangu mimi naona kabisa hivyo vitu kama sio dream ya mtu basi vinaweza kuwa a very good stepping stone towards achieving the so called dream.

Au labda kingine chakuweka sawa ni kuwa labda hajui kuwa kila mtu ana dreams zake. Mwingine ana dream za kuajiriwa maisha yake yote. Mwingine hataki kusikia mambo ya ajira. Mwingine anatumia ajira kama msingi wa kumfanya apate capital ili ajiendeleze na kufanya mambo yake mwenyewe baadae.

I think this is a matter of perspectives. Mleta mada ameangalia hili suala from a very myopic point of view.
Hi mada Mkuu, inahitaji tafakuri ya ndani soma tena huu Uzi mara3 ndiyo utaelewa nini ninamaanisha
 
Back
Top Bottom