Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Mkaldayo wewe unasafisha mapori huko Copenhagen?Kwa nini mnang'ang'ania kuajiriwa wakati kuna mapori makubwa ya kutosha yanahitajik usafishwa na shughuli za kilimo na ufugaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkaldayo wewe unasafisha mapori huko Copenhagen?Kwa nini mnang'ang'ania kuajiriwa wakati kuna mapori makubwa ya kutosha yanahitajik usafishwa na shughuli za kilimo na ufugaji
Nidhamu ya fedha hufundishwi shule.Hapo kwenye utumiaji wa pesa has a kwa vijana ndy tatizo huwa mawazo ya kula bata tu
Kule mitihani ndo kipaumbele.Hii pia inawalemaza vijana wa vyuo.
Kwanini isiwepo kwny mtaala?
Huwa naumia sana maana ndy inatufelisha
Mkuu huyu labda anataka mtaji wake aupatie kwenye kazi za saidia fundi au ukonda wa daladala! Ili kusudi baadaye aje kuwa motivational speaker aje adanganye watu kuwa alianza na sh mia tu mfukoni na sasa amefikia hapo alipo!Mimi maoni yangu kuhusu hilo ni kuwa shida ipo pande zote mbili kwa mwajiri na mwajiriwa.
1. Mwajiriwa kama ulivyosema anaweza kulipwa mshahara mnono akajisahau hafanyi mambo ya kimaendeleo yeye ni bata tu. Hajiendelezi pia so no career growth.
2. Waajiri wengi kusema kweli wapo kimaslahi yao. Hakuna kampuni inayofanya shughuli zake ili imnufaishe mfanyakazi bali ni ili imtumie mfanyakazi kujinufaisha (profit making) so management itajitahidi kwa njia yoyote kuhakikisha inamtumia mfanyakazi to the maximum ili kuinufaisha kampuni.
So issues kama za career growth inakuwa sio focus yao. Ni kampuni chache sana tena labda za wageni ndio wanafanya hivyo. Labda ku train na ku develop wafanyakazi n.k
Kwahiyo kiujumla nadhani ni mfanyakazi kujiongeza tu. Kama unapata mshahara mnono na kupandishwa vyeo usikae kiree kuwa mjanja. Jiendeleze zaidi kielimu ili ukue katika career yako.
Pia wekeza katika fursa mbali mbali za kibiashara ili muda wowote litakapotokea lakutokea uwe upande salama. Sio kula bata tu kama vile una guarantee kuwa hiyo kazi utakuwa nayo siku zote.
Pia penda ku seek opportunities sehemu mbalimbali sio kuganda sehemu moja tu unaridhika.
Tatizo kubwa ni sisi tunapenda kuridhika na kubweteka sana.
The future is not certain. Be alert.
OoohMi nafkiri vijana wapate exposure kwanza.. Mtu hujamuexpos hat kwneye mshahar wa net 600k monthly. Leo unampa mibigi drimz uliokuwa nayo wewe uliekusanya mtaji kwnye NGO. Waacheni waajiriwe wakiona wananyonywa muwashauri hayo,sio hivi mnavyokwenda wazee "mnaharibu"
Sasa hivi food delivery ndo mpango wenyewe sambaza Pizza na makebab kwenye apartments za watu kama sina akili nzuriMkaldayo wewe unasafisha mapori huko Copenhagen?
Fact MkuuMimi maoni yangu kuhusu hilo ni kuwa shida ipo pande zote mbili kwa mwajiri na mwajiriwa.
1. Mwajiriwa kama ulivyosema anaweza kulipwa mshahara mnono akajisahau hafanyi mambo ya kimaendeleo yeye ni bata tu. Hajiendelezi pia so no career growth.
2. Waajiri wengi kusema kweli wapo kimaslahi yao. Hakuna kampuni inayofanya shughuli zake ili imnufaishe mfanyakazi bali ni ili imtumie mfanyakazi kujinufaisha (profit making) so management itajitahidi kwa njia yoyote kuhakikisha inamtumia mfanyakazi to the maximum ili kuinufaisha kampuni.
So issues kama za career growth inakuwa sio focus yao. Ni kampuni chache sana tena labda za wageni ndio wanafanya hivyo. Labda ku train na ku develop wafanyakazi n.k
Kwahiyo kiujumla nadhani ni mfanyakazi kujiongeza tu. Kama unapata mshahara mnono na kupandishwa vyeo usikae kiree kuwa mjanja. Jiendeleze zaidi kielimu ili ukue katika career yako.
Pia wekeza katika fursa mbali mbali za kibiashara ili muda wowote litakapotokea lakutokea uwe upande salama. Sio kula bata tu kama vile una guarantee kuwa hiyo kazi utakuwa nayo siku zote.
Pia penda ku seek opportunities sehemu mbalimbali sio kuganda sehemu moja tu unaridhika.
Tatizo kubwa ni sisi tunapenda kuridhika na kubweteka sana.
The future is not certain. Be alert.
Ila ajira is a big killer of your dream be aware and piga kazi kwa malengoMkuu huyu labda anataka mtaji wake aupatie kwenye kazi za saidia fundi au ukonda wa daladala! Ili kusudi baadaye aje kuwa motivational speaker aje adanganye watu kuwa alianza na sh mia tu mfukoni na sasa amefikia hapo alipo!
Watu wengi waliofanikiwa hasa kwa mfumo wetu wa hapa bongo ni wale walioanza na ajira kisha baadaye wakaachana nayo wakajiongeza wakiwa wamepata mtaji wa kutosha! Mtu ashindwe kujiongeza mwenyewe halafu alaumu ajira kweli!
Mkuu ina maana hauwaoni wazee matajiri waliozeekea kwenye ofisi kubwa za serikali hadi wakaita bilioni vijisenti? Au umesrma kuchangamsha genge?.Poleni sana vijana ambao mnamawazo ya kijinga ya kuajiriwa..wasiwasi wangu ni kwamba HAMNA ALIEAJILIWA AKAFA TAJIRI.rabda nje sio bongo.
Nifanyie mafeke basi asee na mimi nitimbe fasi hizo nifanye maharakati nimake dough Myebusi.Sasa hivi food delivery ndo mpango wenyewe sambaza Pizza na makebab kwenye apartments za watu kama sina akili nzuri
Tuna mindset za tofauti tofauti sana. Halafu kwanza nimeshindwa ku grasp hasa mleta mada ana concept gani kusema kwamba mshahara mnono na kupandishwa vyeo ni dream killers.Mkuu huyu labda anataka mtaji wake aupatie kwenye kazi za saidia fundi au ukonda wa daladala! Ili kusudi baadaye aje kuwa motivational speaker aje adanganye watu kuwa alianza na sh mia tu mfukoni na sasa amefikia hapo alipo!